Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kampuni ya Kichina Touchroad Kuanza Kuleta Watalii, Mastaa Zaidi Kuitangaza Tanzania

Siku moja baada ya uzinduzi wa filamu ya “Amazing Tanzania” (Mailii Tansaniya) iliyomshirikisha Rais Dakt. Samia Suluhu Hassan na msanii wa China, Jin Dong, uliofanyika jana kwenye ukumbi wa National Opera House jijini Beijing, kampuni za China zimeendelea kuchangamkia fursa za ushirikiano zaidi na Tanzania katika sekta mbalimbali.

Leo Mei 16, 2024, kampuni ya Kichina ya Touchroad imetangaza kuleta watalii watakaoambatana na wasanii mashuhuri wa China kuja Tanzania mwezi ujao kufanya utalii na kuitangaza zaidi Tanzania huku kampuni hiyo pia ikiahidi kuratibu shindano kubwa la kimataifa la mbio ndefu (marathon) Zanzibar na Dar es Salaam kuanzia mwezi ujao.

Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika mkutano wa pamoja kati ya uongozi wa kampuni hiyo na viongozi wa Tanzania wakiongozwa na mawaziri Angellah Kairuki wa Utalii na Damas Ndumbaro wa Michezo.

1715849624920.png
 
Nimeona sasa wakunya mmeanza kuiba barabara za TZ mnadai ni Kunya . Na huu ni mwanzo tu, mtaiba vingi mno, Imagine this Mafinga , over 650km away from Dar es Salaam. and this road itself is a 900km stretch .
View attachment 2991497
Halafu hawajishitukii. Line zao za katikati ni njano na za pembeni ni Nyeupe. Sisi tunafuata standard ya SADC kuwa Pembeni Njano katikati Nyeupe.
 
Back
Top Bottom