ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ni ukweli kabisa kaka 🤣🤣 jamaa wana elimu duni mno.Maswali ya kipumbavu sana haya, hata mtanzania layman anajibu vizuri kabisa huu uchafu, wao wanazingatia grammar nafikiri kwenye mitihani wanayotunga, suala la content ya mtihani sio kipaumbele chao kabisa
😂Umenifanya na mimi nicheck nimekuta kitu kimejaa, basi tumepewa Nchi Nzima😂😂😂😂Vodacom wako vizuri aisee, nimepata na 2GB za pole buree kutoka kwao leo 🤣🤣
Rhaenyra Targaryen au komora nitakualika hapa siku yake nije kukutia mimba,maana huko kwenu kunyaland kusafiri ni big dealHuwezi ongea senstensi moja sanifu kwa Kiingereza alafu utuaminishe umetembea? Wewe na Sama Boy one whatsapp group.
Mimi wamenipatia 10GB😂Umenifanya na mimi nicheck nimekuta kitu kimejaa, basi tumepewa Nchi Nzima😂😂😂😂
Duh nyie ndio mmenisanua nimecheki sasa hivi baada ya kuona hii nimekuta 2GB zimeongezeka kwangu.😂Umenifanya na mimi nicheck nimekuta kitu kimejaa, basi tumepewa Nchi Nzima😂😂😂😂