Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sections zote in all Tanzanian exam papers zina choices😂😂.

Choices unaezafunika tu macho Alafu unaguess a certain letter and end up scoring it right, kwa zile questions that doesn’t have choices Kama hujui then hujui. You can’t guess, it’s either right or wrong.
Unatumia elimination method unabaki na option mbili, unafunga macho alafu unachagua moja. Voila! Majibu yanarudi na umepata😅😅😅😅
 
Ni sawa na UK exams mpaka kwenye math's kuna choices lakini huwezi otea a mpaka e kwa maswali zaidi ya mawili na ukapata kama hujui unachokichagua, wakundustan kubalini hamna akili na mitihani yenu ni takataka

images.png
 
Unatumia elimination method unabaki na option mbili, unafunga macho alafu unachagua moja. Voila! Majibu yanarudi na umepata😅😅😅😅
Yaani ninyi kwenye kila level ya maisha mpo failed kuanzia serikalini mpaka kwenye majengo mitaani mpo failed, sikuwahi kujua mpaka kutunga mitihani na penyewe ndio hovyo kabisa, eti mention group of missionary you know 🤣🤣🤣🤣 mtihani wa kwenda university huo 😁😁🚮🚮🚮
 
🤣🤣 unaeza jaza hiyo paper we mbwa .? And guess what.? Hiyo ni paper ya ordinary level student in Tanzania, wala hiyo si kipimo cha mtoto kwenda University. Kwa utopolo huo mnaojaza form four 🤣🤣🤣 paper za form six hapa Bongo huwezi pata hata Subsidiary.
History nilipata A- bila kupewa choices, naandika majibu kutoka ubongo. Photographic memory, your standards ziko chini Sana. No wonder walimu kutoka Kenya wana demand kubwa Sana kwenu
 
Yaani ninyi kwenye kila level ya maisha mpo failed kuanzia serikalini mpaka kwenye majengo mitaani mpo failed, sikuwahi kujua mpaka kutunga mitihani na penyewe ndio hovyo kabisa, eti mention group of missionary you know 🤣🤣🤣🤣 mtihani wa kwenda university huo 😁😁🚮🚮🚮
Tanzania is the only failed country where adults are given multiple choices exams😂😂
 
Ndio maana majengo hayaishi kudondoka Kunyaland na workforce kubwa ya Kunyaland abroad ni sweepers 🤣🤣
Just accept that Tanzania is backward😂😂😂.

No country in the world test their students using multiple choice answers, no wonder kila mtu ni mjinga Tanzania😂😂😂.

Nilipata History A without the help of multiple choices, hakuna kufunika macho na kuguess B or C😂😂
 
Wallahi tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Do you know that a Kenyan student who scored E is better than a Tanzanian student with an A? Yule wa Kenya hakusaidiwa na choices while wa Tanzania alipewa choices and maybe ended up guessing most of the questions 😂😂
 
Just accept that Tanzania is backward😂😂😂.

No country in the world test their students using multiple choice answers, no wonder kila mtu ni mjinga Tanzania😂😂😂.

Nilipata History A without the help of multiple choices, hakuna kufunika macho na kuguess B or C😂😂
Sasa hiyo tissue paper usipate A ulikua unataka upate nini? 😁😁
 
Mkubali your education is backward😂😂
Yaani mwanafunzi wa Tanzania umletee huo mtihani wenu wa high class atakuangilia usoni kama upo serious au comedy 🤣 mtihani umejaa ugikuyu na history na vijiji, watanzania wanasoma whole world's history mzee
 
Tissue paper ni hiyo yenu ya multiple choices😂😂😂.

Wewe ulipewa multiple choices lakini bado ukapata E in all your exam papers😂😂
Wewe famba kweli, eti nilipata A as a big deal achievement kumbe ni tissue paper hata vichaa wanaweza kukushinda 😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom