Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It seems you are new here. Let me list down my principles for your sake;

  • I don’t post to impress anybody.
  • I’m not here to teach or educate anybody.
  • I’m not here to be anybody’s role model.
  • I don’t look for validation and approval from anyone.
  • I’m not here to make friendship.
  • I state facts how they are, no matter how hurting they might be to you.
So if you want to learn, I would advise you to go back to your parents.
🤣🤣🤣🤣 Baada ya kuandika hivi tubu basi. Uongo ni dhambi.
 

Hii imenisikitisha sana Africa bado sana kwa west ukijifanya kidume kuna sehemu nyingi za kushikwa kende.

Hakuna Option kabisa?

Maana zamani walikua hawapo makatili kwenye chakula ila baada ya Ukraine and Russia wala soko la ngano na vibano kwa meli ya chakula ilileta picha mbaya.

Bongo japo tunazalisha still tunahitaji balance maana mkulima hatulimii bure anataka kuexport soko la ndani bei ipo chini kwa mkulima hivyo upenyo wa uhaba wa nafaka ukitokea stock ya wakulima inafanyiwa export nchi inaingia kwa uhaba wa nafaka bei inapaa maisha yanakua magumu.

So siku wakigeukia internet kama kifinyo si itakua balaa.
 
Cheki elimu ya kibongo ilivyo tough kubabake. Hizi ni papers nilizofanya mimi kwenye history kama kipimo cha kunivusha University

history 2 View attachment 2991143history 1👇
View attachment 2991142 nyie wapumbavu Teargas tunajua ili mbushane na sisi, huwa mna Google tu, 🤣🤣 now i want you to know that hizi vitu sisi huku bongo tunavisoma tangu Darasani. Na wewe pia uje hapq mwaiofhawaii.
Elimu ya Kunyaland ikienda mbali sana inafika kwa wakalenjin 😁😁 sasa uwaambie mambo ya black American sijui Italy, German, Japan, Columbus, Napoleon huko mpaka professors wao watakushangaa 😁😁😁
 
Elimu ya Kunyaland ikienda mbali sana inafika kwa wakalenjin 😁😁 sasa uwaambie mambo ya black American sijui Italy, German, Japan, Columbus, Napoleon huko mpaka professors wao watakushangaa 😁😁😁
Tanzanian University exams😂😂😂

IMG_0227.png
 
Elimu ya Kunyaland ikienda mbali sana inafika kwa wakalenjin 😁😁 sasa uwaambie mambo ya black American sijui Italy, German, Japan, Columbus, Napoleon huko mpaka professors wao watakushangaa 😁😁😁
Elimu ya jirani zetu ni upuuzi mtupu 🤣🤣🤣 no wonder hawajui chochote kuhusu Africa na maendeleo.. nimegundua kumbe ili wajibizane na sisi huku, Google ndio msaada wao.
 

Nilikua nasema hapa bus kutoka Mombasa kwenda Nairobi ni 7 hours inakuaje SGR inachukua another 7hours including from SGR station to destinations kwasababu ukiangalia all station ziko nje ya miji lazma umalize 1hr again 😆😆😆😆😆😆

Yani Sioni economic impact ya SGR zaidi ya kua ni white elephant project na ukiwaambia ukweli wanakua wakali kabisa
 
Back
Top Bottom