Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Tofauti ni upana wa reli, ficha ulimbukeni
Tofauti ni upana wa reli, ficha ulimbukeni
Scope yenu ni shallow sana mnasoma vitu vya kipumbavu na vya hasara, Tanzania curriculum ipo in real-time japo ni history, mpo stone age tuKama wewe ndio huwezijibu hata swali moja, huyo wa baby class atajua hata kuandika jina lake?😂😂
Hata wakipewa professors wenu bado watataga vizaMtihani wa choices?😂😂😂
🤣🤣🤣 kwa maswali haya ya kipumbavu, huwezi kuwa bora mbele ya mtanzania yoyote aliekaa darasani vizuri na kuelewa. Mtu akitoka hapa ndio anaenda University kwa paper hizi.? 🤣🤣 hizi ni maswali za class seven huku Bongo.Form 4 Histroy Paper 2 section A.
Hakuna mambo ya Multiple Choices hapa, kama huwezi fikiria pekee yako then you are dead. I’m sure Tanzanian can answer these questions without referring to google😂😂
View attachment 2991053
Nakuuliza tena hii train ni SGR au MGR ??🤣🤣Tofauti ni upana wa reli, ficha ulimbukeni
The moment unaweka multiple choices basi jua kwamba umerahisisha Sana huo mtihani, mbona wasiache mtu atoe jibu kwa akili yake?Hamna Mkunya wa kusolve huo mtihani bado
Nimedharau watanzania wote from today, I didn’t know Secondary School exams have choices😂😂😂Scope yenu ni shallow sana mnasoma vitu vya kipumbavu na vya hasara, Tanzania curriculum ipo in real-time japo ni history, mpo stone age tu
They don’t have that brain, that’s why wanasaidiwa😂😂The moment unaweka multiple choices basi jua kwamba umerahisisha Sana huo mtihani, mbona wasiache mtu atoe jibu kwa akili yake?
Multiple Choices zipo mpaka marekani na hata hivyo huna akili sababu unaweza ona hiyo section ina marks chache sana kuliko section nyingine.The moment unaweka multiple choices basi jua kwamba umerahisisha Sana huo mtihani, mbona wasiache mtu atoe jibu kwa akili yake?
Wimbo umegeuka kutoka kwa tuna dry port kubwa Sana yenu ni ndogo mpaka kwala iko 90km from dar slum. Kwaivyo kila kitu lazima kiwe dar? 😅😅😅😅Hio kwala dry port aliokuonesha iko 80 to 90km from dar es salaam city na dhumuni lake haswa ninkuondoa malori dar es salaam, Yani malori yote yanaishia kwala yanakula mzigo Huko huko na kuondoka, so train itakua inafanya route zakutoa mzigo dar port kupeleka kwala port, umenielewa sasa
Shit!! Shit!! How easy can an exam be?Nimedharau watanzania wote from today, I didn’t know Secondary School exams have choices😂😂😂
Questions ni rahisi lakini bado unapewa choices😂😂😂
View attachment 2991065
Kama hujui jibu la swali ni hujui tu mzee, hata upatane na multiple choices zenye they comprises 100% marks..🤣🤣 naona umekomalia Ooh ni multiple choice. After all, multiple choice questions ni za section one and they comprise of 10% marks of the whole paper. Kwa yale maswali yenu ya kumpima mtu kwenda University, basi elimu ndio mbovu zaidi Uganda huu, I'm telling you 🤣🤣🤣 FACTS.. Tena tukijadili humu kuhusu historia mnyamaze kimya vibwengo nyie.The moment unaweka multiple choices basi jua kwamba umerahisisha Sana huo mtihani, mbona wasiache mtu atoe jibu kwa akili yake?
Sections zote in all Tanzanian exam papers zina choices😂😂.Multiple Choices zipo mpaka marekani na hata hivyo huna akili sababu unaweza ona hiyo section ina marks chache sana kuliko section nyingine.
Nitumie account yakeHii ipo kwenye Wechat account ya Boss wa Sinotan Mr Jason Huang na huwa anasisitiza mara kwa mara ELECTRIFIED SGR😎😂. 160km/h
View attachment 2991057
Sijui nini ilimuinbilia aweke that exam paper here😂😂😂.Shit!! Shit!! How easy can an exam be?
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😱
🤣🤣 unaeza jaza hiyo paper we mbwa .? And guess what.? Hiyo ni paper ya ordinary level student in Tanzania, wala hiyo si kipimo cha mtoto kwenda University. Kwa utopolo huo mnaojaza form four 🤣🤣🤣 paper za form six hapa Bongo huwezi pata hata Subsidiary.Shit!! Shit!! How easy can an exam be?
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😱
Unatumia elimination method unabaki na option mbili, unafunga macho alafu unachagua moja. Voila! Majibu yanarudi na umepata😅😅😅😅Sections zote in all Tanzanian exam papers zina choices😂😂.
Choices unaezafunika tu macho Alafu unaguess a certain letter and end up scoring it right, kwa zile questions that doesn’t have choices Kama hujui then hujui. You can’t guess, it’s either right or wrong.
Ni sawa na UK exams mpaka kwenye math's kuna choices lakini huwezi otea a mpaka e kwa maswali zaidi ya mawili na ukapata kama hujui unachokichagua, wakundustan kubalini hamna akili na mitihani yenu ni takatakaSections zote in all Tanzanian exam papers zina choices😂😂.
Choices unaezafunika tu macho Alafu unaguess a certain letter and end up scoring it right, kwa zile questions that doesn’t have choices Kama hujui then hujui. You can’t guess, it’s either right or wrong.
This is an elementary school paper. Do you know what elementary is?😂😂Ni sawa na UK exams mpaka kwenye math's kuna choices lakini huwezi otea a mpaka e kwa maswali zaidi ya mawili na ukapata kama hujui unachokichagua, wakundustan kubalini hamna akili na mitihani yenu ni takataka
View attachment 2991067
Yaani ninyi kwenye kila level ya maisha mpo failed kuanzia serikalini mpaka kwenye majengo mitaani mpo failed, sikuwahi kujua mpaka kutunga mitihani na penyewe ndio hovyo kabisa, eti mention group of missionary you know 🤣🤣🤣🤣 mtihani wa kwenda university huo 😁😁🚮🚮🚮Unatumia elimination method unabaki na option mbili, unafunga macho alafu unachagua moja. Voila! Majibu yanarudi na umepata😅😅😅😅