Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR ya Kenya iko faster than ya Tanzania
Thanks for your honesty👏👏👏. May the spirits of Kinjeketile Ngwale and Magufuli remember you in hell where they are😂😂😂

😂

Screenshot_20231130-150348_YouTube.jpg

Screenshot_20231201-214757_1.jpg
 
The kind and weight of punches Lewis254 anapeana huko kwa thread ya SGR are very lethal to these witches.

He is a one man army and I don’t think he needs our support. He is capable of doing that battle alone😂👏👏👏.

Mkenya mmoja kanakimbiza wachawi 200,000 kweli kweli😂😂
 
Kuna vitu vingine lakini sisi watanzania tunatia aibu l. Kwanza ilikuaje wamenunua ndege bila kununua spare engine?? Mbona ya kijinga na lizamani!

Wanzao walinunua ndege wananunua na spare zake kabisa, ndege moja inanunuliwa spare engine hata 4. Ili isiwe inakaa kwenye matengenezo muda mrefu.

Ndo maana masema matindi out!! Huwezi emdesha shirika la ndege 2024 kama vile uko 1947
Kosa lilifanyika kununua ndege cash. Ukinunua cash mzigo wako huo. Walionunua kwa finance wanapewa engine on time otherwise watasimamisha malipo. It's not Matindi's fault. Pia crews wenu wanachoma hizo engine.
 
Thanks for your honesty👏👏👏. May the spirits of Kinjeketile Ngwale and Magufuli remember you in hell where they are😂😂😂

😂

Screenshot_20231130-150348_YouTube.jpg

Screenshot_20231201-214757_1.jpg
Analog vs digital, hamjawahi kukumbia zaidi ya 60, mnaamini vipi ni speed meter ya mtungi wa diesel?

Angalia tofauti ya Dashboard Kwanza uone Train ya Kenya ilivyo kongwe
 
Analog vs digital, hamjawahi kukumbia zaidi ya 60, mnaamini vipi ni speed meter ya mtungi wa diesel?

Angalia tofauti ya Dashboard Kwanza uone Train ya Kenya ilivyo kongwe
Dashboard ya Kenyan trains are more sophisticated than ya Tanzanian trains.
 
Analog vs digital, hamjawahi kukumbia zaidi ya 60, mnaamini vipi ni speed meter ya mtungi wa diesel?

Angalia tofauti ya Dashboard Kwanza uone Train ya Kenya ilivyo kongwe
Kiongozi hiyo ni mitumba iliyofufuliwa China speedometer zake za zamani zilishaharibika kitambo katika refurbishment wameokoteza dash ya treni zao za miaka ya hivi karibuni na kupachika tuu. If at all hii picha ni dash ya Kenyan locomotive.
 
Si
Sijawahi ona train ambayo haijachongoka ikifika speed ya 200km/h this one will be the first one.
Only in Kenya you can get vichekesho kama hivi 🤣🤣🤣🤣
Today’s facts.

Kenyan trains 200km/h
Tanzanian trains 180km/h

Wewe maji ya machozi, unajidhalilisha sana bila hata kujuwa.

Any massive object kama locomotive at 120km/hr inapata air resistance kubwa sana, it's economically impractical for unstreamlined body (locomotive za jirani) to travel at 200km/hr.
 
Back
Top Bottom