Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Of course mnatuzidi Kwa kila kitu, hata kwa umasikini uliopitilizaNchi kama Tanzania haiwezi kubishana na Kenya, tunawazidi katika almost kila kitu, tuna miradi ina thamani kubwa kuliko miradi yote inayofanyika East and central Africa, sina haja ya kubishana na wewe.