Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchi
Halafu Mchina kawaaminisha ule mtungi wa chang'aa ni bora kuliko hii! Kweli kuna watu hawana akili.
Mchina kaweka speedometer ya uongo na kweli ili kuwahadaa hawa kondoo kuwa chuma ni ya kisasa lakini sura linakataa.🤣🤣🤣🤣
Mchina haendi mbinguni aisee sio kwa ulaghai huu huku ukiacha mamilioni ya watu kwenye madeni.
 
Mimi naona ghorofa 7 pekeake ama hio ndio cluster kubwa dar slum ukitoka kariakoo, posta na victoria. Tushamaliza mjadala dar slum na lazy land kwa ujumla hakuna maghorofa yakuanguka. Jengeni kwanza!
Ghorofa aliloleta ichoboy juzi lilikua pekeyake tena lina floor 4 tu.
Kwanini lilianguka??
Tunataka jibu.
Kwahiyo wingi wa maghorofa ndio unafanya maghorofa yaanguke!?
Mbona mataifa mengine makubwa yanapata hadi tetemeko la magnitude 4 na maghorofa hayaanguki!?
India na Bangladesh walipata mafuriko ambayo kama Kenya wangepata vifo vingekua mamilioni ila hakuna nyumba iliyoanguka.
Sasa najiuliza Kenya ndio pekeenu mna hizo cluster!??
Yani BABAAKO KHERI PESA ANGENUNULIA MALAYA NAIROBI KULIKO KUKUSOMESHA.
 
Mchi
Mchina kaweka speedometer ya uongo na kweli ili kuwahadaa hawa kondoo kuwa chuma ni ya kisasa lakini sura linakataa.🤣🤣🤣🤣
Mchina haendi mbinguni aisee sio kwa ulaghai huu huku ukiacha mamilioni ya watu kwenye madeni.
We muulize kwann hii red light inawaka kwenye 100😂😂
Screenshots_2024-05-13-21-50-20.png
 
Mimi naona ghorofa 7 pekeake ama hio ndio cluster kubwa dar slum ukitoka kariakoo, posta na victoria. Tushamaliza mjadala dar slum na lazy land kwa ujumla hakuna maghorofa yakuanguka. Jengeni kwanza!
Usitarijie kamwe kama nitakuamimisha ilala iko na gorofa za kucheba, kwasababu ni hulka yenu ubishi na wivu. 🤣🤣🤣
 
Usitarijie kamwe kama nitakuamimisha ilala iko na gorofa za kucheba, kwasababu ni hulka yenu ubishi na wivu. 🤣🤣🤣
Msenge sana huyu kijana.
Kataka kuoneshwa ghorofa kaoneshwa,eti kahama visingizio.
Aya basi tuseme TZ hakuna maghorofa.
India na Bangladesh kuna maghorofa KENYA NZIMA HAKUNA.
Na wamepigwa na mafuriko makubwa tu,ila hukusikia ghorofa kuanguka.
Au huko mbali twende DUBAI.
Je kwa yale mafuriko ya Dubai kuna ghorofa/jengo la aina yeyote lilianguka!?
Jibu HAPANA.
Swali,KWANINI KILA MWAKA YAANGUKE MAJENGO YA KENYA PEKEYAKE!?
Unajua ungekua karibu ungeliwamba kofi jamaa lipumbavu kama hili.
 
Back
Top Bottom