Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa maendeleo kenya ina boom kwanza elections zimeisha iyo ndio ilikua hofu sijui mtatoroka wapi pinnacle,montave,avic,cythoon zikisimama zote by 2020..kwanza avic next year ni done
Mnasingizia uchaguzi wakati njaa, umasikini, slums, corruption naninsecurity ambavyo ndiyo adui mkubwa wa maendeleo vimekuwepo tangu uhuru wa Kenya
 
Do you know what a bullet train is? Ubaya wenu nyinyi Danganyikans ni kwamba mna toa hoja bila kuwa na uelewa wa mambo na vitu mnazosema. Nyinyi bora tu mmeongea. Hata pale Europe, bullet trains are found in just a handful of cities even though almost all European countries have electric trains.Don't confuse electric train with bullet train.
Wacha maneno mengi, hii ni Tanzania mpya, tumeweza kutoa $3.1B kujenga reli, tumetoa $2B kujenga biggest hydroelectric dam in EAC, hatuwezi kushindwa kununua bullet trains, subiri uone Tanzania mpya isiyoendekeza rushwa na ukabila
 
AFRICAN CITIES FROM ABOVE [ 2017] DRONE EDITION


Source: TOP 5 AFRICA

Yani hii video imeonesha vzr kabisa uzuri na ukubwa wa city, safi kabisa mwenye macho haambiwi kuona😀
Alaf niskie mpuuzi anaomba suburb za bongo
 
Alichokuambia ni kweli. Hapa kenya hatungoji serikali itujengee TPA na PSPF. Tunajenga miji zetu sisi wenyewe huku serikali ikijenga barabara and such like things. Nashangaa sana kusikia kwamba Dar almost all the major buildings are government-owned. Ajabu sana!
Hapo ndipo ninapowadharau wakenya, hivi kama serikali ina uwezo mkubwa ya kuendeleza miji kwanini isifanye kwa kushirikiana na private sectors, ndiyo sababu miji mingi ya Tanzania inakua kwa kasi hata ile midogo ambayo private sector haina interest kwenda kuwekeza huko, mkubali kuwa uchumi wenu upo mikononi mwa matajiri ndiyo sababu Northern Kenya ni kama kumetengwa, kwa sababu matajiri hawaoni faida ya kwenda huko
 
tz hakuna shida kabisa mbona gdp ni kidogo
Chukua 55 - 51.3 alaf utaona tofaut iliobakia alaf tuone kama 2020 mutatoboa😀😀😀
IMG_0579.jpg
 
Hakuna cha maana wakat serekali imeshaanza kuhamia dodoma na pia kuna huge project zinaendelea huko au unataka tukutajie ndio uamini😀😀😀
Nyinyi...mujielewi Mara Dodoma.Mara dar...Yani iyo ni ufala
 
Kunaezaa kuwa na civil war for 100 years lkn muezi.2fikia....pelekaneni na south sudan
Kenya na South Sudan na Somalia zipo kwenye kundi moja, nchi zinazotegemea chakula cha msaada toka UN kulisha watu wake, nchi zisikokua na usalama nchi mwao, nchi zenye ukabila wa kutisha, nchi zenye rushwa iliyoshindikana..msijilinganishe na Tanzania nchi yenye maziwa na asali
 
Nyinyi...mujielewi Mara Dodoma.Mara dar...Yani iyo ni ufala
Dodoma inajengwa kwa kasi sana labda nikutajie mambo yanayoendelea kwa sasa
Ujenzi wa ikulu ya kisasa kazi inaendelea
Ujenzi wa modern stadium and second biggest in africa cost yake ni 100m usd ujenzi ushaanza
Ujenzi wa international airport ujenzi ushaanza
Ujenz wa housing projects ujenzi ushaanza eg iyumbu
Ujenzi wa conventional center ujenzi umekamilika etc
 
Soon izo zitakuazilipendwa hii battle iendelee kudumu tu utakua shuhuda mzuri kwa wengine
Mnajishosha na Hanna ki2
[emoji23][emoji23]zote izo ili iweje unatafuta simple excuse? Do you think unaweza jenga kitu bila malengo?kumbuka phase II tayar iko launched kwahyo by 2021 tutakua na km zaidi ya zenu itakua dodoma na zaidi ngoma hailali apa...

Sisi tunajenga kwa mpigo phase mbili kwa pamoja 712 km from dar to dodoma safari hii tutasimama wima kisawasawa
 
Gdp ni kidogo lakini maendeleo ni makubwa, with little money we can do much than you guys, remember 62% of your gdp is owned by less than 8300 people, the rest of population share only 38%
hiyo ulijuaje? usitulete ulev yako wa supu ya albino leta facts
 
Alichokuambia ni kweli. Hapa kenya hatungoji serikali itujengee TPA na PSPF. Tunajenga miji zetu sisi wenyewe huku serikali ikijenga barabara and such like things. Nashangaa sana kusikia kwamba Dar almost all the major buildings are government-owned. Ajabu sana!
Tuoneshe tower ulio ijenga wewe ila tuamini hausubiri serikali
 
Back
Top Bottom