Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi serikali inajenga kwa niaba ya wananchi, pesa itakayopatikana kutoka kwenye rent inaenda kuimarisha barabara na Hospital, ninyi pesa zinaingia mifukoni mwa matajiri, mliobaki mnaenda kulala katika slums
kenya inacollect tax mara mbili au tatu yenu...tuko na inerchange nakuru,kisumu,mombasa,kericho ata dar ndio mnajenga ya kwanza
 
kenya inacollect tax mara mbili au tatu yenu...tuko na inerchange nakuru,kisumu,mombasa,kericho ata dar ndio mnajenga ya kwanza
Tanzania inatumia pesa yake vizuri kwa maendeleo ya wananchi wake mara kumi yenu, ninyi 50% ya pesa mnayokusanya inaingia mifukoni mwa Uhuru Kenyatta na kundi lake, endeleeni kuwakusanyia pesa akina Waiguru
 
Shenzy type.....haya mambo tumeishi kukuambia kuwa eneo la Nairobi lililojengeka yani (metro) ni kubwa kuliko dar lakini umeishi kupinga kishabiki lakini sasa umeelewa
Narudia kukwambia kinachozungumzia ni urban city area, usitafute maneno mengi yasiokua na tija 😀😀😀
Urban city area dar ni 1590 km sq
Urban city area nairobi ni 696 km sq hata ukikasirika ndio ukweli huo
 
electric train pekee yataka 10000mw sisi tuta upgrade yetu tukisha pata umeme wa kutosha
zote izo ili iweje unatafuta simple excuse? Do you think unaweza jenga kitu bila malengo?kumbuka phase II tayar iko launched kwahyo by 2021 tutakua na km zaidi ya zenu itakua dodoma na zaidi ngoma hailali apa...
 
hakuna haja ukuwe na electric train na energy yako si sufficient thats why tunataka energy kwanza
Usiseme hakuna haja wakat sisi tunaona tunayo haja nimekwambia tunajenga the biggest dam in east africa itazalisha umeme 2100MW kinyerez one mpaka four zitazalisha umeme 1600W jumlisha na hii tulionayo 1800MW, kuna zingine zipo ila hatuwez zisema hapa
 
uc siyo. Mpo na under sea building kama yetu zanzibar?
Mna supper highway?..mpo na zip lining? Mna by passes?..mna underpass?...mna tunnel (railway) ,mna geothermal energy???...mna race course??? Mna wind energy??? Mna multi nationals(mko na zero tuko na over 200)..etc mko down kama slippers
 
Hakuna cha maana wakat serekali imeshaanza kuhamia dodoma na pia kuna huge project zinaendelea huko au unataka tukutajie ndio uamini😀😀😀
Sai hakuna cha maana sgr yetu phase one inalink msa to nai very important.... Sasa dar to Dodoma si nikama Mombasa to garissa
 
Back
Top Bottom