COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
mafala ata wakua wanaijua wameenda kuigoogle..ata race course ka ya ngong hawajui ni niniNaona umemrudisha darasani bila malipo.
mafala ata wakua wanaijua wameenda kuigoogle..ata race course ka ya ngong hawajui ni niniNaona umemrudisha darasani bila malipo.
sasa maendeleo kenya ina boom kwanza elections zimeisha iyo ndio ilikua hofu sijui mtatoroka wapi pinnacle,montave,avic,cythoon zikisimama zote by 2020..kwanza avic next year ni doneSoon izo zitakuazilipendwa hii battle iendelee kudumu tu utakua shuhuda mzuri kwa wengine
Ona huyu asiyejua hata kutumia maneno sawasawa.mombasa inajengwa na developers sio serikali
Do you know what a bullet train is? Ubaya wenu nyinyi Danganyikans ni kwamba mna toa hoja bila kuwa na uelewa wa mambo na vitu mnazosema. Nyinyi bora tu mmeongea. Hata pale Europe, bullet trains are found in just a handful of cities even though almost all European countries have electric trains.Don't confuse electric train with bullet train.wewe subiri 2020 uje upande na uione kwa mara ya kwanza electrical, modern, fast bullet train, hujawahi kuiona maishani mwako, labda kwenye youtube
mafala ata wakua wanaijua wameenda kuigoogle..ata race course ka ya ngong hawajui ni nini
Alichokuambia ni kweli. Hapa kenya hatungoji serikali itujengee TPA na PSPF. Tunajenga miji zetu sisi wenyewe huku serikali ikijenga barabara and such like things. Nashangaa sana kusikia kwamba Dar almost all the major buildings are government-owned. Ajabu sana!Ona huyu asiyejua hata kutumia maneno sawasawa.
wewe ndio mpagaji maendeleo kama dodoma ni kijiji fungua uzi alaf uone kama utatoka humu😀😀😀Dodoma ni village ata mngeunda railway to arusha kwanza iyo mlichora giza mse
haina msaada na sisi wala maendeleo yetu so kwa sasa hatuna tija nayoZip niya tourist kujinice ni expe kuinstall btw
haha ni macho yako ina shidaOna huyu asiyejua hata kutumia maneno sawasawa.
anirudishe darasani mimi, bogus huyo hajui hata dira ya maendeleo😀😀😀😀😀Naona umemrudisha darasani bila malipo.
endelea kutuonesha renders😀😀😀😀😀😀😀sasa maendeleo kenya ina boom kwanza elections zimeisha iyo ndio ilikua hofu sijui mtatoroka wapi pinnacle,montave,avic,cythoon zikisimama zote by 2020..kwanza avic next year ni done
dodoma ni aibu kwa nchi yenu...lagos ilichange capital city na wakaidevelop nyinyi mkaiacha inakaa iimeshikwa na kutuwewe ndio mpagaji maendeleo kama dodoma ni kijiji fungua uzi alaf uone kama utatoka humu😀😀😀
sasa bogus pekee ndio unajuaanirudishe darasani mimi, bogus huyo hajui hata dira ya maendeleo😀😀😀😀😀
tuache kufanya maendeleo tupoteze pesa kujenga zip lining 😀😀😀😀😀sasa bogus pekee ndio unajua
kwetu sisi kila jambo huenda kwa wakati, nigeria ni nigeria na tanzania ni tanzania sasa usitulazmishe tumuige mtu kwasababu yeye kafanya, na nakupa taarifa hakuna mkoa unajengwa kwa kasi tanzania kama dodomadodoma ni aibu kwa nchi yenu...lagos ilichange capital city na wakaidevelop nyinyi mkaiacha inakaa iimeshikwa na kutu
Biggest University in east and central Africa yenye capacity ya over 40,000 ipo wapi?Dodoma kuna nini ya maana? Nikama tu garissa
haha ni macho yako ina shida
.Alichokuambia ni kweli. Hapa kenya hatungoji serikali itujengee TPA na PSPF. Tunajenga miji zetu sisi wenyewe huku serikali ikijenga barabara and such like things. Nashangaa sana kusikia kwamba Dar almost all the major buildings are government-owned. Ajabu sana!
Sisi tunachojua ni slums, njaa, insecurity, unemployment, and tribalism, kwasababu hivyo ndivyo vitu mihimu kwa mwananchi, sasa hizo races, tunnels zinasaidia nini?mafala ata wakua wanaijua wameenda kuigoogle..ata race course ka ya ngong hawajui ni nini