Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mna supper highway?..mpo na zip lining? Mna by passes?..mna underpass?...mna tunnel (railway) ,mna geothermal energy???...mna race course??? Mna wind energy??? Mna multi nationals(mko na zero tuko na over 200)..etc mko down kama slippers
Zip lining inasaidia nn kwa maendeleo yetu punguza upuuzi😀😀😀 wind energy ipo singida, tunnel ipo,
 
Mna supper highway?..mpo na zip lining? Mna by passes?..mna underpass?...mna tunnel (railway) ,mna geothermal energy???...mna race course??? Mna wind energy??? Mna multi nationals(mko na zero tuko na over 200)..etc mko down kama slippers
Soon izo zitakuazilipendwa hii battle iendelee kudumu tu utakua shuhuda mzuri kwa wengine
 
hakuna haja ukuwe na electric train na energy yako si sufficient thats why tunataka energy kwanza
Ninyi mipango yenu siku zote ni hovyo hovyo, hamna kitu mnapanga mkiwa na akili timamu, rais wenu anakuwa amevuta bangi mda wote, inakuwaje mnakimbilia kupoteza pesa kujenya Lamu port wakati Galana project haijakamilika na watu wenu kila siku wanakufa kwa njaa?,, bure kabisa nininyi..
 
Hakuna cha maana wakat serekali imeshaanza kuhamia dodoma na pia kuna huge project zinaendelea huko au unataka tukutajie ndio uamini😀😀😀
Huyo anaweweseka, ameshagundua kwamba Kenya inakimbiza upepo kwa sasa, kasi ya Magufuli imewastukiza hawakutegemea
 
Nitakuumiza sana

seal1.png

Als Flora | The best Florists in Tanzania
Kwa mambo ya flowers hata hampaswi kuongea. Kenya is the third biggest producer and exporter of fresh flowers in the world
 
Anauliza eti dodoma kuna nini???? Collo kweli ni kilaza
The guy is desperate, doesn't believe on what is happening in Tanzania now, Dodoma kuna biggest University in East and Central Africa, with capacity of over 40,000 students, kunajengwa uwanja mkubwa wa michezo with capacity of 95,000 people, second biggest in Africa after Soccer city in South Africa
 
Iyo ni yah pili.Africa....kwani kuna m2ame cook Google juu c.yoni
.
Nafikiri hufahamu kuhusu search engines;

Google huwa wanatuma webcrawler (Googlebot) kutafuta pages mbalimbali, zamani kidogo walikuwa wanatumia ip yenye range hii 66.249.73.* kutafuta pages, sijui kama wamebadilisha.

Wao hawatengenezi 'contents' bali wanachukua 'snapshot' ya pages kutoka sehemu mbalimbali na kuzi-index, sasa kama watanakili pages zisizo sahihi (garbage in) basi pia watazitoa hivyo hivyo (garbage out). Japo wanajitahidi sana ku-index page sahihi lakini bado hawako sahihi 100%. Kwahiyo unapotumia Google inabidi ujiongeze.
 
zote izo ili iweje unatafuta simple excuse? Do you think unaweza jenga kitu bila malengo?kumbuka phase II tayar iko launched kwahyo by 2021 tutakua na km zaidi ya zenu itakua dodoma na zaidi ngoma hailali apa...
wapi evidence sisi tayari tunaelekea nakuru
 
Back
Top Bottom