Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kampuni ya kitanzania kuwekeza kenya (kwenu)kwenye sekta ya habari, kiasi kikubwa cha pesa ili mpate kuangalia mpira kwa picha HD na technology ya hali ya juu, hii haikuambii kwamba we control you.? 🤣🤣🤣
Mnatucontrol na Ksh 800M? Kweli umaskini imekuaribu akili😂😂😂.

Ksh 800M inaezafanya nini Kenya hii?😂😂😂
 
Mumezoea wachina vibaya na omba omba zenu. 😂 😂 😂 👇 👇 Kenya wachina wanafanya biashara kubwa kubwa lakini bongoslum ni misaada tu.😂😂😂


China aid tanzania hi-res stock photography and images - Alamy



The Sino-Tanzania Frienship hospital is owned and operated by Chinese  doctors in Dar es Salaam, Tanzania, East Africa Stock Photo - Alamy
True China ni Marafiki zetu ndio maana walitujengea Reli ya Tazara miaka ya 70s. Kutokana na tuliwasaidia kuingia kwenye UN Security Council.

Tanzania is a Socialist State china also.

Wachina waliwapiga KO kwenye Reli 🤣 🤣 🤣 🤣

1715431283171.png
 
True China ni Marafiki zetu ndio maana walitujengea Reli ya Tazara miaka ya 70s. Kutokana na tuliwasaidia kuingia kwenye UN Security Council.

Tanzania is a Socialist State china also.

Wachina waliwapiga KO kwenye Reli 🤣 🤣 🤣 🤣

View attachment 2987926
Maskini omba omba, mumezoea vya bure, ndio maana hua mko lazy. 😂 😂 😂
 
Sisi hatupewei misaada ovyo ovyo na Uchina, sisi tunafanya biashara nao.
Mnapewa chakula cha msaada! Usijifanye ndondocha!

 
Mnatucontrol na Ksh 800M? Kweli umaskini imekuaribu akili😂😂😂.

Ksh 800M inaezafanya nini Kenya hii?😂😂😂
Wewe ni maandazi 🤣🤣🤣 una uwezo mdogo wa kufikiri..

Je ni sawa Azam(Tanzanian company) kueka mpunga wote huo ili kuoneaha league yenu nyie mbuzi mnaojiita EA power house.? 🤣🤣

Je si kwamba we control you and that’s why we can do what you can not In your own country?
 
Mnapewa chakula cha msaada! Usijifanye ndondocha!

Drought is a natural catastrophe that deserves AID.
 
Pwani ya lindi mtwara inazipiku zote hizo,tuombe tu siku yake hawa ccm waache ujinga wao wa kulinda utalii wa znz
We acha tu kitu kama Mbudya Island ingekua kwa nchi inayojielewa like DUBAI now ingekua inatoa mamilioni.

Watu washachoka pale pale kila siku TZ ina maeneo mengi unaweza wafanya watu waache hela sio kila siku mbuga.

Mafia, Mbudya, Bagamoyo, Saadani (Kuna mbunga yoyote ambayo wildlife wapo karibu na bahari) yaani unapunga upepe na tembo yulee,

Rubondo Island, Saa nane, Lake Tanganyika Shoreline, Matema Beach, Mbamba Bay, Moyowosi, Lake Victoria shoreline.

Lindi iko na madhari ya bahari safi.

Mpaka unapata hasira kuna nchi ingekua navyo utashangaa viongozi wetu wanaenda kupiga picha.
 
Back
Top Bottom