Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mbona mmegeuka majokers? Hii battle imekuwa ya kipumbavu kwa sasa mana utoto ni mwingi sn, hivi ni kweli kabisa tunashindana kuhusu diesel SGR vs electrified SGR?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu Konza au tatu vs Dodoma?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu soccer? Tuna ligi number 6 kwa ubora Africa, tumepeleka timu mbili robo fainali Africa, tumepeleka timu ya taifa Afcon, nchi pekee Africa mashariki?

Ni kweli tunabishana kuhusu sinotruck assembly plant? Mnalazimisha kwenu ipo wakati hakuna!!!

Huu ni utoto na ujinga wa kiwango cha juu sana, sikuwa najua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki aisee.
Hiyo map imeandaliwa na kunyan,yan wanatamani kuwa kama sisi,juzi kati kuna m1 nilikua nae aliniambia sasa hivi kwa mkenya kununua kiwanja TZ ni rahisi,kuna wenzake wamenunua tanga huko,nikajua tu nae anaingia kwenye kutapeliwa
 

Attachments

  • 26a960c19bd669d5a24daade766ed80f.mp4
    329.2 KB
Watanzania wanetoka from Azam pekee ndio inaonyesha live matches za ligi ya Kenya to Azam pia wanaonyesha gameπŸ˜‚πŸ˜‚.

For your information, KBC has been given the priority and then ndio Azam inafuata.
 
Ndivyo mulidanganywa Kenya hakuna camera HD πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna siku nilipost zingine hapa wakisema ni za AzamπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ukaiangalia streams zote za Azam zinakuanga cloudy, KBC streams are all clear.
 
Bila kupoteza muda tunaanza kama ifuatavyo

Arusha Region

Nick name yake inaitwa R Chuga au A City
Huu mji upo strategic kwa lengo la kupambana na Nairobi. The real battle of Nairobi is Arusha. Na in near future Arusha inaenda kuipita Nairobi in all aspects.

1715414690586.png


Arusha ni lango kuu la kuingilia Hifadhi za Taifa za Serengeti, Ngorongoro, na Kilimanjaro. Utalii ni sehemu kubwa ya uchumi wa Arusha, na hivyo kuna shughuli nyingi zinazohusiana na utalii kama vile huduma za malazi, usafiri, na vivutio vya utalii.
 
I skip Dar es Salaam Region and Dodoma Region

Geita Region
Geita ni moja kati ya maeneo yenye uchimbaji mkubwa wa dhahabu nchini Tanzania. Kampuni kubwa kama Geita Gold Mine (GGML) inaendesha shughuli zake hapa. Uchimbaji wa dhahabu unachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la mkoa na ajira kwa wakazi wa eneo hilo.

1715415514242.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom