Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata umeogopa kunijibu sasa😂😂😂

Mambo ya HOWO imekutoa morale kabisa😂😂
Sibishani na mjinga mm nimekwambia hutopata assembly plant ya howo mpaka kiyama na hii ndio official assembly plant Yao 😅😅😅👇👇👇👇👇👇

The only howo assembly plant in east and central Africa


View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=ssZmeDGCDzyZaL8l4LOVZA&s=19
 
Jamaa anaweka mpaka kiwanda kilichofilisika ili kupata ahueni ya sinotruck assembly plant ambayo ni assembly plant pekee East and central Africa🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 2987041
Hakuna biashara ya magari kwao ndio maana unaona hata AVA hua ana assemble gari kwa order maalum lakini sio official kua anatambulika na hzo kampuni never ever 😅😅
 
Wacha Tu nicheke kwa kweli😅😅😅😅😅

Munafkiri watu wote humu wajinga hawana akili au????
Nilikuwa nangoja urudi, nikupostie hiZi😂😂😂

Screenshot_20240510-170210_1.jpg
Screenshot_20240510-170222_1.jpg
Screenshot_20240510-170233_1.jpg
Screenshot_20240510-170255_1.jpg
Screenshot_20240510-170305_1.jpg
Screenshot_20240510-170244_1.jpg
 
Wacha Tu nicheke kwa kweli😅😅😅😅😅

Munafkiri watu wote humu wajinga hawana akili au????
Nilikuwa nangoja urudi, nikupostie hiZi😂😂😂
Jamaa anaweka mpaka kiwanda kilichofilisika ili kupata ahueni ya sinotruck assembly plant ambayo ni assembly plant pekee East and central Africa🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 2987041
Foton siku hizi are assembling their trucks at AVA😂😂

Soma hapa chini
1715358827887.jpeg
 
Sibishani na mjinga mm nimekwambia hutopata assembly plant ya howo mpaka kiyama na hii ndio official assembly plant Yao 😅😅😅👇👇👇👇👇👇

The only howo assembly plant in east and central Africa


View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=ssZmeDGCDzyZaL8l4LOVZA&s=19

Mmekuwa wa mwisho kupata assembly plant mnapiga kelele. Now that i have proved yo you that Kenya is also assembling mmekuwa wakali kweli kweli😂😂😂
 
Hii sector hamtakaa muone rangi! Kumbuka kwenye masuala ya trucks na buses hamna nchi EA inaweza kuwa markt kubwa kama Tanzania a mining country!
Kenya has been assembling vehicles since 1975, saa hii ndio umeona hatutakaa😂😂😂
 
Wakenya Tanzania sio size yenu, mtu anapost picha haweki link, fanya kama hivi kama kweli una balls 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Another huge assembly plant in Kibaha Tanzania GFA👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20240510-193418~2.png
Screenshot_20240510-193351~2.png

Screenshot_20240510-193518~2.png

Screenshot_20240510-193328~2.png

 

Attachments

  • Screenshot_20240510-193328~2.png
    Screenshot_20240510-193328~2.png
    984.4 KB · Views: 17
Kwanini umeweka picha ya upande upande? Umeficha nyumba za mabati au sio 🤣 🤣 🤣 🤣

Kwahiyo walio rank Kenya kuwa na ma slums makubwa zaidi duniani walitumia picha hizi au sio 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Nikuwekee ma slums yenu yaliyowaweka juu ya nchi zote duniani? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Au wewe hapa unamuongopea nani, unadhani hapa ni skyscraper city au unadhani hapa ni nailarand 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe desperation inakuumiza Bure. Hebu niletee taarifa inayotaja Kibera kuwa ndio slum kubwa duniani.

Secondly, sijaleta picha za upande upande. Kariobangi nzima hakuna nyumba za bati. They are apartment blocks with self-contained houses, way better than your uswazi hovels zenye bati zilizoliwa na mchwa
images - 2024-05-10T191814.203.jpeg
images - 2024-05-10T191537.965.jpeg
images - 2024-05-10T191259.221.jpeg
images - 2024-05-10T191205.559.jpeg
v83uNYtf_400x400.jpg


Sasa oneni Vingunguti middle-class area 🤣🤣🤣
images - 2024-05-10T193318.522.jpeg
images - 2024-05-10T193035.060.jpeg
images - 2024-05-10T193002.261.jpeg
images - 2024-05-10T192916.601.jpeg
images - 2024-05-10T192854.499.jpeg

Sometimes arguing with these idiots is a complete waste if time.
 
Back
Top Bottom