Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! yani mungu atupe uzima 2027 aibu hii itakua kimataifa
Nyinyi hamtoandaa afcon hata iweje, sisi tushajipanga, tutakuwa na afcon bora na infrastructures bora za kunogesha kama electrified SGR, nyie mna nn kipya? Tena huku kwetu michuano itanoga kuliko michuano yoyote iliyowahi kufanyika ukitoa ya SA.
 
Onesha iyo ksh 1.6b, chizi gn ata inject hiyo pesa kwenye ligi dhaifu kama ya Kenya? Ligi ambayo haina uhakika kama itapigwa ban ama la kutokana na viwanja kuwa vibovu na mazingira kuwa hovyo, by the way last time I checked Kenyan league haipo hata 20 bora za ligi bora Afrika, nani ataweka pesa nyingi huko? Azam tu ambaye ame take over huko kwenu kaweka only $7.6m wakati Tanzania kaweka zaidi ya $80m 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unalia ukiwa wapi?😂😂

Screenshot_20240511-145809_1.jpg
 
Mkataba wa mwaka mwaka, $1m kila mwaka kutegemea na mazingira yatakuwaje Azam katoa pesa taslimu $7.6M na mkileta ujinga atawaacha na ligi lenu bovu🤣🤣🤣🤣🤣
Siku Azam itafikia KBC njoo tuongee.
 
Back
Top Bottom