Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm sitaki maneno nataka ushahidi wa kiwandani maneno hata kwenye kanga yapo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 hakuna mkenya mkweli kwenye dunia hii ukipata ushahidi mm nafunga acc
Kama imeandikwa tu basi zile HOWO trucks circled in yellow and blue zinafanya nini hapo?😂😂

IMG_0200.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Assembly plant imewatoa kamasi

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19

Ndio mmepata assembly plant ya HOWO leo mnadhani ni nyinyi pekee ndio mko nayo. Hata Uganda imewatangulia😂😂
 
Ndio mmepata assembly plant ya HOWO leo mnadhani ni nyinyi pekee ndio mko nayo. Hata Uganda imewatangulia😂😂
Na hamuna plant assembly ya howo na hamutakua nayo mpaka kiyama🤣🤣🤣

Leta picha za assembly plant ya howo Uganda nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣
 
Kama imeandikwa tu basi zile HOWO trucks circled in yellow and blue zinafanya nini hapo?😂😂

View attachment 2986131
Ww unajua maana ya assembly plant hio ni ofisi za howo wanaleta magari Yao kwa ajili ya mauzo lakini sio assembly plant haipo na haitakuwepo mpaka kiyama 🤣🤣🤣🤣

Kama hujui maana ya assembly plant fungua video hii hapa👇👇👇👇👇

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19
 
Ndio mmepata assembly plant ya HOWO leo mnadhani ni nyinyi pekee ndio mko nayo. Hata Uganda imewatangulia😂😂
Ngoja tukuongezee na nyingine. Tanzania we are serious. Whether you like it or not

1715280245830.png

1715280267801.png

View: https://www.instagram.com/reel/CnrsRaPjx4q/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Na hamuna plant assembly ya howo na hamutakua nayo mpaka kiyama🤣🤣🤣

Leta picha za assembly plant ya howo Uganda nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣
Kati yako na Tatu City na Mchina tuamini nani?😂😂

Soma the Highlighted part by Tatu City monthly Magazine.
IMG_0201.png
 
Back
Top Bottom