ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ndio Dar imefika level ya Tatu City saa hii😂😂
View: https://x.com/audi_robert/status/1561692850269601793
Who is Audi?? 🤣🤣🤣🤣🤣 Yani assembly plant inatajwa kwa mdomo ila ushahidi hakuna
Ndio Dar imefika level ya Tatu City saa hii😂😂
View: https://x.com/audi_robert/status/1561692850269601793
Leo utatumia ChatGBT kuorodhesha list ndeeefu 🤣 🤣 🤣 🤣 Any person can write a list kama yako hii. Lakini ukweli ni Kenya zero kubwa.Wako na assembly plant ya kuunganisha only two automobile brands, moja ya tractor na ingine ya Slayqueen (HOWO)😂😂😂.
Kenya is assembling more than 20 brands.
- Isuzu
- Scania
- Volvo
- Toyota
- Volkswagen
- Tata
- Proton
- Mahindra
- Daewoo
- Foton
- Fuso
- Beiben Trucks
- Peugeot
- Hino
- Howo
- Mitsubishi
- Hyundai
- Honda
- Iveco
- Mercedes Benz
- Renault
Akikuonesha picha za assembly plant ya sinotruck hapo tatu unitag plz 🤣🤣🤣🤣Tanphobia inakusumbua sana mpaka unataka kulinganisha Kichuguu na Mlima 🤣 🤣 🤣 🤣 MADE IN TANZANIA
View attachment 2986015
View attachment 2986017
View attachment 2986019
Wasamehe hawatarudia tena, ninaomba msamaha kwa niaba ya ichoboy01 🙏🏾😅
Nioneshe picha ya assembly plant hapo tatu kama hiii 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Watu wa HOWO wamekimbia wote after realizing that HOWO has been doing assembly in Kenya for more than 10 yrs now.
Acha niende nitowe gari Car wash ndio nirudi vizuri, I have a long weekend starting now that I’ll be doing nothing.
Msaidie mwenzako akipata picha ya assembly plant hapo tatu mm nafunga ACC SASA hvi 👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣Wasamehe hawatarudia tena, ninaomba msamaha kwa niaba ya ichoboy01 🙏🏾😅
Nioneshe picha ya assembly plant hapo tatu kama hiii 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
Anajipa matumaini hakuna picha hata moja atakuinesha ya assembly plant na hatoipataMlikua na garage sio assembling plant, assembling plant ya HOWO pekee in East Africa iko Tz na ndio Leo wamefungua, hizo zingine ni garage like the one in tatu Street.
Soma tena hio tweet utaona ni mbili zimeanguka.ghorofa moja tu lilikuwa underconstruction ndio limeanguka.
Eti mercedes Benz, howo, Volvo, Toyota,iveco, VW, Scania, Renault, hino, proton,Daewoo, Peugeot,tata 🤣🤣🤣🤣 nicheke Tu kwa kweliWako na assembly plant ya kuunganisha only two automobile brands, moja ya tractor na ingine ya Slayqueen (HOWO)😂😂😂.
Kenya is assembling more than 20 brands.
- Isuzu
- Scania
- Volvo
- Toyota
- Volkswagen
- Tata
- Proton
- Mahindra
- Daewoo
- Foton
- Fuso
- Beiben Trucks
- Peugeot
- Hino
- Howo
- Mitsubishi
- Hyundai
- Honda
- Iveco
- Mercedes Benz
- Renault
Leta picha za sinotan assembly plant hapo tatu mm nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣🤣Soma tena hio tweet utaona ni mbili zimeanguka.
Nioneshe picha ya assembly plant hapo tatu kama hiii 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
SinotruckLeta picha za sinotan assembly plant hapo tatu mm nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣🤣
Leta picha za assembly plant nafkiri ukaelewa maana yake, usionioneshe majengo niletee picha za ushahidi kua munafanya assembly plant hapo kama hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
Hata garage unaeza andikwa sinotan kwani shida nn ?? 😅😅😅😅Sinotruck
View attachment 2986124
Tuanze na Mercedes ama gani? Chagua moja yenye unataka tuanze nayo.Eti mercedes Benz, howo, Volvo, Toyota,iveco, VW, Scania, Renault, hino, proton,Daewoo, Peugeot,tata 🤣🤣🤣🤣 nicheke Tu kwa kweli
Fuso ni mitsubishi au ulikua unaongeza number🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leta picha za assembly plant nafkiri ukaelewa maana yake, usionioneshe majengo niletee picha za ushahidi kua munafanya assembly plant hapo kama hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
Na ukipata picha mm nafunga ACC SASA hvi
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
Mm sitaki maneno nataka ushahidi wa kiwandani maneno hata kwenye kanga yapo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 hakuna mkenya mkweli kwenye dunia hii ukipata ushahidi mm nafunga acc
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna assembly plant ya howo Kenya na hutapata mpaka kiyama na siku ukipata ushahidi wa picha mm nafunga ACC 🤣🤣Wanafurahia kampuni malaya kuunganisha Lory kwao, hawajui all East Africa countries assemble HOWO trucks😂😂