buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Google inataja million unataka tufanyeje kwani si kazi yako kuprove na data zenu si unaishi huko. Haya Basi congratulations kwa sababu we ni mkazi wa kibera.Huwa unawekea mtu presha aprove kitu alafu akishaprove unaignore post. Hivi bado unaamini Kibera ina watu 2.5M?
Anyway mpaka Slum Tourism inapigwa hapo bila shaka mambo ni meusi sana.