Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta ushahidi wa picha niamini tatu kuna aseembly plant ya howo mm nifunge ACC

Ni simple Tu kila MTU anajua assembly plant inavokaa leta ushahidi wa picha au video tuone plant ya tatu inakaaje 🤣🤣🤣


View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19

Amini unachotaka😂😂

IMG_0200.jpeg
IMG_0201.png
IMG_0202.jpeg
 
👇👇👇👇👇👇👇👇👇😅😅😅😅 Very simple
Leta picha za assembly plant tuone au assembly plant zenu ni invisible?🤣🤣🤣🤣🤣

Ww usifkiri watu wajinga Sana humu ndani

Leta ushahidi kama huu mm nifunge ACC mamaeee🤣🤣🤣👇👇👇👇


View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19
 
Jamaa anajifurahisha tu. Kenya kwa sasa ipo nyuma sana. Just vitu simple anatoa maelezo mareeeeeeefu. 🤣 🤣 🤣 🤣
Hawezi kupata mpaka kiyama mzee 😅😅

Kwenye maneno Mia ya mkenya chukua moja ondoka na usigeuke nyuma na Hilo moja usilale bila kutafakari😅😅😅😅

Mkenya ni MTU ambae Yuko tayar kufa njaa lakini ajisifu ameshiba 😅😅😅😅😅
 
Hizi zote ni garage mzee 🤣🤣🤣 whether you like it on not. There's one and only HOWO's Assembling plant in East Africa.
Leo hatupumui huku ju mumeanza kuassemble lorry in 2024. 😂 😂 😂 Enyewe hua muko nyuma kama matako.
 
Wanasema wako mbele yetu miaka 1000 kumbe hata uwanja wakuchezea mpira hawana caf/fifa standard
2024 hawana hata approve CAF stadium alaf wao ndio wanajiita wazungu weusi🤣🤣🤣

Tulijua wako level za singapore kumbe hata Malawi imewaacha mbali Sana 😅😅😅

Umeumiaaaa, Hatimaye umeona ngoja ujitutumue 🤣 🤣 🤣 KARIBU Tuoneshe Viwanja vya Mpira na Mabasi matano
 
Tunawaumiza sana wakenya

$75 billion Mchuchuma and Liganga project ready for take-off

Liganga and Mchuchuma are two mineral deposits about 50 kilometers apart in Ludewa District, with estimated reserves of 126 million (iron ore) and 428 million (coal) metric tons, respectively, expected to be mined for more than 100 years.

At the current market prices of the minerals, iron ore ($118 per ton) and coal ($141 per ton).
 
2024 hawana hata approve CAF stadium alaf wao ndio wanajiita wazungu weusi🤣🤣🤣

Tulijua wako level za singapore kumbe hata Malawi imewaacha mbali Sana 😅😅😅
Tupate wadhamini kidogo.

"Kenya worse than Zimbabwe economically " WB.

Tena enzi hizo Zimbabwe wana hela yenye expiry date 🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom