Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Believe whatever you want.
Last kick of a dying horse
1715273297029.png
 
Wao ndio wa mwisho kupata alafu wanapiga kelele. Ebu angalia kama Rwanda wanayo pia. 🤣 🤣
Hao ndio wa mwisho kupata lakini hile kelele wako nayo ungedhani ni wao pekee ndio wanaunganisha HOWO trucks. Do you know why it’s called Slayqueen? Because they have assembly plant in almost all countries. Wengine wanawaita “Malaya”😂😂
 
Ukiwaona wakituingilia tukiongelea assembly plant zetu humu kumbe ni ni wivu tu. Nilidhani siku wataanza kupata assembly plants watazikataa. Kumbe ni kiu walikuwa nacho. 🤣 🤣
 
Saturn Corporation Limited Huu moto umekuuma sana. Pole utazoea tu.

1715275687486.png

1715275762704.png

1715275790063.png
 
Ukiwaona wakituingilia tukiongelea assembly plant zetu humu kumbe ni ni wivu tu. Nilidhani siku wataanza kupata assembly plants watazikataa. Kumbe ni kiu walikuwa nacho. 🤣 🤣
Wako na assembly plant ya kuunganisha only two automobile brands, moja ya tractor na ingine ya Slayqueen (HOWO)😂😂😂.

Kenya is assembling more than 20 brands.
  1. Isuzu
  2. Scania
  3. Volvo
  4. Toyota
  5. Volkswagen
  6. Tata
  7. Proton
  8. Mahindra
  9. Daewoo
  10. Foton
  11. Fuso
  12. Beiben Trucks
  13. Peugeot
  14. Hino
  15. Howo
  16. Mitsubishi
  17. Hyundai
  18. Honda
  19. Iveco
  20. Mercedes Benz
  21. Renault
 
Back
Top Bottom