ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,561
- 90,009
Fikeni level hizi kwanza ππKampuni ziko mingi sana. Just a sample
View attachment 2981419
View attachment 2981423
View attachment 2981428
View attachment 2981430
View attachment 2981431
View attachment 2981435
View attachment 2981437
View attachment 2981438
View attachment 2981440
View attachment 2981443
View attachment 2981444
View attachment 2981446
View attachment 2981447
View attachment 2981449
View attachment 2981455
Taheemid vilevile.Tashrif ni ya TZ
Fikeni level hizi kwanza ππContinue finding peace in those buses that doesnβt even have offices.
Mabasi za ofisi ndio hizi hapa.
View attachment 2981464
In Tanzania ππWewe umepost picha za Country bus buses. Kuna mabasi za ofisi.
Mash Poa alone has 5 with Modern Coast having 3 Scania Touring original.
View attachment 2981351
View attachment 2981353
View attachment 2981358
View attachment 2981362
View attachment 2981363
Modern Coast has 3
View attachment 2981354
View attachment 2981355
Kwenye Mabasi Kundustan tupisheni ππAmesema ukweli. Nani kawapa rank!?
View attachment 2981253View attachment 2981256View attachment 2981257
Yaani hawa wanyama kwa mwaka mzima kenya wanakuwepo kwa miezi miwili tu du hii ligi sio yao ππ
Lazima mkimbie,Mabasi Yako Tanzania ππKama Irizar ndio mnapigia kelele, siku mtanunua Higer ama Touring si hakutakalika huku?
View attachment 2981121
View attachment 2981122
View attachment 2981127
Mwaka huu hawaendi Ukunyani kuna mafuriko!Yaani hawa wanyama kwa mwaka mzima kenya wanakuwepo kwa miezi miwili tu du hii ligi sio yao ππ
Country bus?Wewe umepost picha za Country bus buses. Kuna mabasi za ofisi.
Mash Poa alone has 5 with Modern Coast having 3 Scania Touring original.
View attachment 2981351
View attachment 2981353
View attachment 2981358
View attachment 2981362
View attachment 2981363
Modern Coast has 3
View attachment 2981354
View attachment 2981355
Wako kwenye mchakato wa kuwapa private operatorsJamaa wapumbavu hawa, hivi wako serious kweli, phase II ishakamnilika ila watu wasubiri mwaka mzima ili kuanza kutumia! Ndo akili gani hii??
Kama hawawezi si watoe miundombinu kwa watu binafsi!
Hawa jamaa wajinga kweli!!
Mbona yanayofanyika Sasa ni zaidi ya hayo wewe mbumbumbuHuku ni kudhubutu kwa JPM kaka Sgr Nyerere dam,Jpm bridge,Magufuli mbezi ikulu Dom,uwanja wa ndege Dom serikali kuhamia Dom, Atcl,halafu kuna popoma anasema ni miradi ya show off hayo ni baadhi tu
Town services? Nchi ya GDP kubwaa ina uchafu huo mjini? Kama yako hivyo Long distance inakuaje?These are not long distance buses. Mbona unajaribu kudivert attention? These town service buses.
Hehe,,eti Nairobi yote iko hapa,,iko wapi south c, Eastleigh,, Eastlands,, Northlands,,,I know you are shocked Na vile Nairobi iko Na thousands of highrise coming up,, wait uone 5yrs to come vile itakuwa,,Wacha tuππ₯One pic inamlaza Nairobi yote tena horizontal pic π π π π na mukiambiwa Nairobi ni ndogo musikasirikie ndio maana floods IPO everywhere kwasababu mji mdogo umejikusanya sehemu moja
Kenya kampuni za mabus ni mbili tu mash na modern, hatuoni, zingine π€£changanyeni za Uganda na South sudani ili kubalance na πΉπΏ
Nimeambiwa ni za Mjini NairobiHata ikiwa kampuni ya Kenya lakini bus ni ya Uganda na inatambulika kisheria ni bus kutoka Uganda zenu ziko wapi??π€£π€£π€£π€£
Au nyinyi mushazoea hii tetenus πππ
View attachment 2981422
View attachment 2981425
View attachment 2981429
We hii kelele si ndio ile ile mliihodhi Tahmeed baada ya Kuona Bus zake zina Kenya Plate number wakati ni Mtanzania.Hizi ni za Kenya doing Kenyan routes. Tangu lini Modern Coast na Mash Poa zikawa kampuni za Uganda?
Mbona hawaongei english?Hii nayo ni Nairobi kwa wajaluo, duhππ
Cc: kipmeno arap kipchirchir Teargas
View: https://m.youtube.com/watch?v=OzlyueBlWF8
Wewe hunanga akili, dunia nzima inaweza pigwa picha moja iimalize alafu bado unadhani eneo likitoshea kwa picha moja eti ni lidogo.One pic inamlaza Nairobi yote tena horizontal pic π π π π na mukiambiwa Nairobi ni ndogo musikasirikie ndio maana floods IPO everywhere kwasababu mji mdogo umejikusanya sehemu moja