Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,716
- 107,164
Najua hampendangi ukweli. Kwani ni uongo kuwa Tanzania only have cheap buses from China? Is it a lie that Irizar is cheaper Touring and Higer buses which are in Kenya? Is it a lie that nobody ranked you number one and it’s only something you have planted in your heads and then started to believe it?Hii ndio sababu huwa nakupuuzaga.. endelea kupiga kelele mwaya.
"But we speak good English" 😂😂😂Wakenya just to remind you
Wakati tunajenga Reli, Bwawa Barabara, Madaraja, BRT na miradi mingi ya kimkakati, ambayo ni ya malengo ya miaka 100
Nyie humu mnapost magorofa ya kupangisha ambayo wengi wenu humu hamtawahi kuishi humo, kipindi Cha nyuma hapo mlikuwa mnapost express way ambayo imeprove haikuwa necessary at all.
Now mradi wenu mkubwa kabisa ni uwanja wa mpira, ambapo sisi tuna project za aina hiyo zaidi ya 5 ukiacha timu Binafsi.
Wakenya hamuoni mnatatizo la Uongozi? Uongozi wenu umekuwa unasimamia basic staff but not future of your country
🚮Najua hampendangi ukweli. Kwani ni uongo kuwa Tanzania only have cheap buses from China? Is it a lie that Irizar is cheaper Touring and Higer buses which are in Kenya? Is it a lie that nobody ranked you number one and it’s only something you have planted in your heads and then started to believe it?
Finally who told you that I’m eager to get your attention? Wewe ndio huwa unanireply cause I don’t care about you. Why should I be bothered by a poor idiot like you? Most of the conversations that we usually have wewe ndio huwa unaanza kunireply. For me I don’t care whether reply me or not.
Sio kweli mkuu,Rwanda inatumia bandari ya Dar sana,haiwezi ikapita dakika 20 Lori la Rwanda halijapita,Mimi nipo Tabora ambapo malori yote ya Burundi,Rwanda, Kenya nk hupita. Rwanda tumeishawaweka mfukoni kwanini tuhangaike nao tena?
Gizani 🤣🤣🤣"But we speak good English" 😂😂😂
Tumeanza kuwafuata huko huko twitani
View: https://twitter.com/Ludovicsebastin/status/1786775387353051252?t=qrpm-5k1txDsP9eQQrzHPg&s=19
We fala kweli Higer ziko nyingi za kumwaga huku watu hawapandi.Kama Irizar ndio mnapigia kelele, siku mtanunua Higer ama Touring si hakutakalika huku?
View attachment 2981121
View attachment 2981122
View attachment 2981127
Dodoma city 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C6fxe6ZtY4l/?igsh=bnA4bjVmOGN6aWMz.
View: https://www.instagram.com/reel/C6g3v9DNOac/?igsh=MTJidGR1Zjg3ZmNrcA==
View: https://www.instagram.com/reel/C6LV63cN_60/?igsh=MTF5dzk1NTQ3OGt5aQ==
View: https://www.instagram.com/reel/C6IpehdNEo4/?igsh=YW95YTFsOG04bWVn.
Hizo takataka sijui mombasa ni ushuzi tu mbele ya dodoma
Umekosea Neno la mwisho, Yao hua ni on planet🤣🤣🤣🤣🤣Embu tuongee kwa sauti ya kinyangau "The longest ultra modern state of the art SGR in the whole of Africa" 😁
Breathtaking, most efficient, environmentally friend. 🤣🤣🤣 Kenyans bhana, wana mbwembwe mnoEmbu tuongee kwa sauti ya kinyangau "The longest ultra modern state of the art SGR in the whole of Africa" 😁
Asee! Sasa wanayo tupostia yanaenda wapi? Maana hata kila video ya tukio mjini unakuta ni makarai hadi CDB.Kwenye Swala la Rail hatufanishwi na mbwa yoyote Africa Mashariki na Kati. Angalia tu varieties ya Vifaa vya reli kuanzia Vichwa vya aina mbali mbali na mabehewa ya aina mbali mbali. Hapo tu ya mizigo bado hamjayatia machoni.
MGR tuna locomotive nyingi ikiwemo SMH Rail's H10 Series,
SGR ndio usiseme tuna hadi mabehewa Double Decker na EMU.
Sio reli tu Usafiri wa aina yoyote iwe Land Marine na Air angalia vifaa vyetu uone kama kuna Mbwa yoyote East Africa na kati anatia Pua😂
In the The best 007 Voice, GDP yetu ipo undervalued na Hakuna mbwa yoyote anatukaribia kwa vitu tulivyonavyo, Wakiwemo wakundustan na Makarai yao 😂
View attachment 2980842
Hizi Bus, ziko ngapi? Mbona hazionekani sana. Au ruti moja tu?Kama Irizar ndio mnapigia kelele, siku mtanunua Higer ama Touring si hakutakalika huku?
View attachment 2981121
View attachment 2981122
View attachment 2981127
Kwa hiyo nyie ni Leader with Probox, Fuso za kuchonga, ngaragara na makarai ya nyundo yanayotengeneza vichuguu juu na madumu?Who ranked you the leader? How can you be the leader with cheap, fake and ugly buses?