RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,879
- 129,898
Poleni. Old photos or flood water not receded?
Poleni. Old photos or flood water not receded?
Kwa uwanja wa serikali ni sawa tena inasaidia kuongeza effort kukuza riadha ambayo tumekua tunafanya vizuri kimataifa kuliko sokaHivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni ‘kila mtu’ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.
Tanzania imekuwa ikifanyaza vizuri kwa riadha?😂😂😂Kwa uwanja wa serikali ni sawa tena inasaidia kuongeza effort kukuza riadha ambayo tumekua tunafanya vizuri kimataifa kuliko soka
Hatuna makuu sisi! Hiyo design Mombasa, Kisumu, Eldoret na Isiolo international airports hazioni ndani!Kwa kenya hii ni international airport
Pia Kilimanjaro Marathon 2024 washindi wote walikua watanzania na wakenya mlishiriki.Tanzania imekuwa ikifanyaza vizuri kwa riadha?😂😂😂
When last did a Tanzanian won a medal at Athletics?😂😂
Viwanja vya soka vijengwe na clubs sio serikali. Wasikimbie wajibu wao. Kwanza kama taifa lazima tuangalie michezo mingi sio soka tu.Nani kakwambia matumizi madogo? Kama facilities zipo unafikiri IAA hawatakuja kutaka michezo yao ifanyike hapo? Kwahiyo kinachotaka kufanyika Dodoma kujenga sports complex indoor and swimming arenas tuache? Hivi upeo wako na elimu yako iko vp mshikaji? Unajua kitu kinaitwa Cost Benefit Analysis? Kila facility ya serikali lazma iwe multipurpose.
Muone alivyonyenyekea. Next time atakuwa careful sana kuongea ujinga kuhusu Wakenya.Hahah kumpaka mafuta kwa chupa ya mgongo Mkundustan! Kinyeo kishalegea sio?
Utakuwa umerukwa na akili kuifananisha Tanzania kwa Kenya kiriadha. Hilo hata wewe mwenyewe unajua.Pia Kilimanjaro Marathon 2024 washindi wote walikua watanzania na wakenya mlishiriki.
Misaada ya chakula na misaada ya ndege. 😂😂😂
View: https://x.com/taifa_leo/status/1784312351933575447?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Uko sahihi kwa mawazo yako,😂😂😂😂😂😂.
Sasa mkuu unataka kila kiwanja cha serikali tujaze running track uhitaji mdogo,hivi hata wewe fikiria inaleta mantiki kweli!?
Miundombinu ijengwe kulingana na uhitaji,naona hilo ndilo litapendeza.
Arusha inatosha kuwa na running track.
Vingine wasiweke.
Hii ni uchafu gani???😂😂😂😂😂😂Stadiums construction everywhere in Kenya.
Masinde Muliro Stadium coming up in Bungoma County.
View attachment 2977979
View attachment 2977980
View attachment 2977981
View attachment 2977982
View attachment 2977987
View attachment 2977988
Wapo wanatafuta Mishumaa Wamulike lile dude lao linalovuja kama Maji ya flood kwenye Dump truck 😂😂😂😂😂😂😂Tupo kwenye sherehe ya Mei Mosi. Wakenya wanazidi kupiga kelele. 😀 😀 😀 😀 Mpango wa ku eliminate hunger upoje hapo Kundustan?
Hii ndio progress ya ujenzi?😂😂😂
As you make stories Talanta inasonga.
View: https://www.instagram.com/reel/C6YZnJFIG_j/?utm_source=ig_web_copy_link
"Wealth army" 😂😂😂Na bado wamekaza Fuvu, We are Rich😂😂😂
Jeez how? Thika Road is literally now a sea!!!!! This is at Ku, and on the right, Northlands City under construction.
View attachment 2978004
Uzalendo umekushinda umeamua kuripuka😂
What is this 😂😂😂 aloooo 🙌🙌🙌🙌The one at Kitale is really huge. Bigger than Afraha. Another one is being done in Siaya. A good one as well
View attachment 2978008