Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia tena usifananishe dar na ujinga wa Mombasa ,Mombasa level yake ni Zanzibar
Cheki cbd ya Mombasa ilivyo contain cheap old similar dwarf buildings smh!,yaani upanga inachapa Mombasa yote
Imaging.unaota saizi tuko 2017
 
Lala tu dogo Mombasa hamna cha ajabu almost like Bujumbura
Dar kunanini yah maana kama c beach........ata izo bongo..movie zenyu my.like. kuitaja msa.....Alafu unadai ati cinjui.Bujumbura.......... Kijana wake up...msa UCI.idharau
 
Dar kunanini yah maana kama c beach........ata izo bongo..movie zenyu my.like. kuitaja msa.....Alafu unadai ati cinjui.Bujumbura.......... Kijana wake up...msa UCI.idharau
Naijua Mombasa vizuri ndio maana nazungumza usitake kunikaririsha mawazo yako .Hebu tembea ujionee sio kukaakaa kwenye hilo ligofu ukadhani umefika
 
Naijua Mombasa vizuri ndio maana nazungumza usitake kunikaririsha mawazo yako .Hebu tembea ujionee sio kukaakaa kwenye hilo ligofu ukadhani umefika
Sawa basi. Uclinganishe msa naizo .town yenyu.expect dar slum.....am here to defend mombasa
 
Sawa basi. Uclinganishe msa naizo .town yenyu.expect dar slum.....am here to defend mombasa
Hii sio ile tanzania ya 90s mliokua munaiwaza hii ni tanzania ya 2017 my friend nchi imejengwa kimyakimya na inaendelea kujengwa kimya kimya, watanzania sio watu wa sifa ila safarii hii tanzania inawapumulia kisogoni hakuna sehemu mutatoboa😀😀😀😀

Kwenye tourism tushawaeka chini, kwenye uchumi tunakula sahani moja, maendeleo ndio usiseme just imagine nchi imejengwa within 10 yrs na bado kuna huge projects zinajengwa kimyakimya,

Iogope sana nchi iliotokea kwenye ujamaa😛😛
Chukulia mfano leo north korea anavoisumbua dunia nani alijua north korea imekua na technology inayotishia dunia wazungu wameshtukia jamaa kashapiga hatua vibaya sana
 
Pia c.tuku 2017.......Alafu kuna devolution...... We.haven't sleep my friend
 
asante kwa maoni yako.
 
kama unaongea kuhusu area kisumu ina area kubwa kuliko dar,sababu kisumu na Nakuru ni counties kama Nairobi tu
 
Pia c.tuku 2017.......Alafu kuna devolution...... We.haven't sleep my friend
Devolution huku kulikuwa nayo katika miaka ya 1970s, tulikua inajulikana kama Madaraka mikoani, ilisaidia sana kusambaza huduma mikoani, ila pesa nyingi ya serikali ilipotea sana, tukaachana nayo, hicho sio kitu kipya na wala msitegemee maajabu..Ganda la mua wa jana, chungu kaona mavuno.
Uhuru Kenyatta, governors to take home hefty gratuity
 

Kadoda wengi hapa wanacomnent kishabiki kama vile mtifuano wa Simba vs Yanga. Kama wangekuwa na mtazamo kama wako huu mjadala ungesaidia sana watu kuelewa maendeleo na changamoto za hii miji yetu.
Sidhani kama wengi wana uelewa kama wako au hata wanauchukulia huu mjadala kwa mawazo kama uliyotoa hapo juu.

Adios....
 
Majengo na uzuri ushafail tayari alaf ukitaka habari ya uchumi generally hii hapa chini 55b vs 51.3b so utaona tofaut hapo, akili kichwani mwako😀😀
View attachment 642642
Hapa ni Nairobi vs Dsm wewe unaleta figures za Tz vs Kenya. Hukuweza hata kuelewa hilo jambo dogo?

Kuna kitu serikali ya hapo Tz inabidi kufanya ili kuboresha elimu na uelewa wa watu kama wewe.
 
Haya Dar imeipita Nairobi kwa kila kitu kwa miaka elfu 50 mbele. Umejisikia vizuri sasa?
Mchezo wa watani wa jadi hautaki uwe na hasira

Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo? What a pity...
 
Mombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..

Upuuzi wa december ..[emoji23][emoji23][emoji23]..so the greatness of the city is about ..the number of 20flr + buildings ...kwa hyo Naorobi itashindana na London ..kama ikija kuipata pinnacle ..cause pinnacle ni 300m tower ???? ..kwanza hyo 20flr mnaweza mkawa nayo moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..kwa picha mlizotuma mombasa ni kariakoo ya 2010
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…