Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily dose.

Cement silos pale Talanta City. Hivi uwanja wa Samia unaendeleaje?😂😄😄

1000035202.png
 
nani alilalamika kuhusu mambo yenu??? sisi tunajenga nchi kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa letu pendwa la Tanzania lakini nyie mnajiingiza kwenye mikopo mikubwa ambayo isiyokuwa na maana yoyote eti kwaajili ya kupambana na Tanzania!!!! mtakufa kenge nyie
Vibongolala vyenzako humu. Samahani kama hukuviona.
 
Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone

MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo wasivichukue waviboreshe,nahisi pesa haitakuwa kubwa kiasi hicho
In due course vitaboreshwa ondoa shaka Arusha ni tourist capita while Dodoma ni country capital and Dar ni commercial capital ni sahihi viwanja kujengwa huko kwanza then sehemu nyingine zitafuata taratibu.
 
Back
Top Bottom