Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kuna mnuka mavi mmoja tu humu ndio anakaza fuvu 🤣🤣Safi sana kaka, asante kwa hii video, ni kweli hayo ma running track hatuyataki mana hii nchi sio ya riadha kama kenya, hii nchi ni ya soccer, ma running track yabaki Arusha ila Dar tunataka football stadiums, period.