Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kukubali ukweli unaodhihirika kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi. kongole sana hapo. Ingekuwa jambo la busara sana kama wabongo wenzako pia wangekubali huu ukweli, ingawa mcungu. Pili, nakupongeza pia kwa kuongea ungeli kwamba Dar inakuwa kwa kasi sana na kwamba it's one of the cities to watch here in Africa in matters development. Though nakukosoa unaposema kwamba Dar huenda ikafikia Nrb na hata kuipita kwa sababu nrb pia inazidi kuwa na mandeleo kila kuchao.
 
Hawa jamaa mjini kuna mapori ndio maana unakutana na estate mjini.. Sasa kweli sie tujenge estate posta wakati kiwanja kimoja redevelopment yake inachukua pesa ya kujenga estate Kenya?! Sijui wanafikiriaje
 
Yani 20 floor and above unadai .ati so ki2 ...n2mie tz building out side dar slum above 17 floor

Hivi wewe kukurupuka utaacha lini umeelewa nilicho comment au?hebu lala uwahi kuamka ukawahi seat yako Uhuru park kesho asubuhi smh!
 
Na nai c ligi yah dar lbda Msa kulingana facts....huwa msa na dar ziko in race.....lkn nai iko ligi ingine
Narudia tena usifananishe dar na ujinga wa Mombasa ,Mombasa level yake ni Zanzibar
Cheki cbd ya Mombasa ilivyo contain cheap old similar dwarf buildings smh!,yaani upanga inachapa Mombasa yote
 
Hivi wewe kukurupuka utaacha lini umeelewa nilicho comment au?hebu lala uwahi kuamka ukawahi seat yako Uhuru park kesho asubuhi smh!
Kwenda uko atakiswahili hujui na Wewe mtz .....na bytha Niko msa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…