Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
kitambo nadhani miaka minne iliopitaUlikam mombasa lini
kitambo nadhani miaka minne iliopitaUlikam mombasa lini
Bana acheni kupost vitu vya ajabuajabumombasa pwani
![]()
![]()

nitawacha ukileta picha za mwanza..deal?😀😀Bana acheni kupost vitu vya ajabuajabu![]()
Mm nnainterest na Arusha,Moshi, Dar, dodoma...nilishakwambia wadau a mwanza waponitawacha ukileta picha za mwanza..deal?😀😀
Picha za Mwanza mbona zimejaa tele kule Jukwaa la Photos, hapa ni Dar VS Nairobi kama ilivyoanzishwa, naona mnataka kubadilisha mada. Mara hii mmehamia Mombasa baada ya Nairobi kuchemsha...picha za mwanza bado ndugu?![]()
![]()
![]()
nitawacha ukileta picha za mwanza..deal?😀😀
![]()
Utazijuaje wakati umejifungia kwenye magofu ya Mombasa?...Hawa bongolala me huwa naskia Dodoma na dar .izo zingine..na kidogo arusha juu ya EAC izo.zingene kabori
Lakn ki2 iko....Nairobi..ni mbonge na jiji msidharauUtazijuaje wakati umejifungia kwenye magofu ya Mombasa?...
Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni...Ina..maana izo. C.city. ni ushag
Kwa hotels ndugu huwez ongea mbele ya zanzibarSijui wanadai.ati.mombasa Hamna.ma..star hotel....hawa.jamaa washai.on a whitesands
Zimeisha mji wenyewe mdogo😀😀😀![]()
Naona umeamua kuvuruga thread... Huleti tena picha za Nairobi...![]()
Wacha 254 wajaze.c..bongolala.....in mombasa imechapwa na Nairobi..east Africa lkn dar..aaai labda tower mbili na wanamzikiKwa hotels ndugu huwez ongea mbele ya zanzibar
Wenzako wote wanalijua hilo😀😀😀
Dar inawaumiza kichwa kwelikweliWacha 254 wajaze.c..bongolala.....in mombasa imechapwa na Nairobi..east Africa lkn dar..aaai labda tower mbili na wanamziki
Jiji tajiri sana....u.don't know anythingZimeisha mji wenyewe mdogo😀😀😀