Duh asee! Ulizaliwa Mwaka gani?
let me ENLIGHTEN you.
In 2006 kwenye Travel Agents Conference Waziri wenu wa Utalii Morris Dzoro alisema Mt. Kilimanjaro ni moja ya vivutio vya kitalii Kenya. Kupelekea mvutano. Imagine waziri mzima anasema hivyo, na mlitumia slogan hii 'COME TO KENYA TO SEE and CLIMB Mt. Kilimajaro.
www.telegraph.co.uk
View attachment 2972798
Unajua iliaffect kiasi gani tourism industry yetu, maana kupitia kampeni lenu la kutumia Kilimanjaro na serengeti watalii walikua wanafikia kwenu alafu mnawaleta huku as if hakuna Mbuga huko. Ndio Tanzania ikaja na Charges za USD 200 kwa kila Van kutoka Kenya, Kutangaza VISIT TANZANIA VIA SUNDELAND CLUB.
View attachment 2972804
Uzi uko humu wanalalamika
View attachment 2972800
Kenyan tourism players have expressed anger at continued refusal by Tanzania to allow Kenyan-registered tourist vans to access sites inside the country.
www.standardmedia.co.ke
Sasa mna masai mara, Na mbunga nyingi mnaleta van kufanyaje, kama si kuwaonesha watalii mliowadanganya, baada ya hizi measures ndio watalii wakagundua uongo wenu.
Kuna huyu Rosemary Odinga mbele ya UN kabisa alisema Olduvai Gorge iko Kenya
View: https://www.youtube.com/watch?v=4-nKXyN3wOk
Alafu Baadae unakuja kuita Banter, Na unakuja kabisa kusema sisi ndio tumeanzisha, Banter gani zinakost sector nzima ya tourism.
Hizo zote ndizo zilizaa tabia ya kudai kila kitu World recognizable kilichopo Tanzania ni chenu.
Usitufanye wajinga sana, uwe unafanya research kabla ya kuongea wala kujipa umhimu.
AND NEVER CALL IT BANTER IT IS WAR