Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo la vizuri vya Tanzania tunavisema vyetu lipo akilini mwenu tu. Sasa kama mnavyoshinda mkisema huwa tunasena eti daraja lenu ni letu huoni huo ni ujinga? Shida yenu mmoja wenu akisema kitu wengine mnafuata tu. Akilaunch hilo daraja lenu Magufuli na chuki zake alisema, 'utawasikia wengine wakisema ni lao' bad hapo mkaanza kukariri eti tunasema ni letu wakati hakuna Mkenya aliye na haja nalo.

Banter huwa tunapiga hata na Uganda, Nigeria, SA na nchi zingine ila sijaona watu wanaochukulia banter seriously kama nyinyi. Yani Hadi mnafungua profiles kwa TikTok dedicated to Kenya.
Duh asee! Ulizaliwa Mwaka gani?
let me ENLIGHTEN you.

In 2006 kwenye Travel Agents Conference Waziri wenu wa Utalii Morris Dzoro alisema Mt. Kilimanjaro ni moja ya vivutio vya kitalii Kenya. Kupelekea mvutano. Imagine waziri mzima anasema hivyo, na mlitumia slogan hii 'COME TO KENYA TO SEE and CLIMB Mt. Kilimajaro.

1713959523585.png

Unajua iliaffect kiasi gani tourism industry yetu, maana kupitia kampeni lenu la kutumia Kilimanjaro na serengeti watalii walikua wanafikia kwenu alafu mnawaleta huku as if hakuna Mbuga huko. Ndio Tanzania ikaja na Charges za USD 200 kwa kila Van kutoka Kenya, Kutangaza VISIT TANZANIA VIA SUNDELAND CLUB.
1713959988542.png

Uzi uko humu wanalalamika

1713959728483.png

Sasa mna masai mara, Na mbunga nyingi mnaleta van kufanyaje, kama si kuwaonesha watalii mliowadanganya, baada ya hizi measures ndio watalii wakagundua uongo wenu.

Kuna huyu Rosemary Odinga mbele ya UN kabisa alisema Olduvai Gorge iko Kenya

View: https://www.youtube.com/watch?v=4-nKXyN3wOk

Alafu Baadae unakuja kuita Banter, Na unakuja kabisa kusema sisi ndio tumeanzisha, Banter gani zinakost sector nzima ya tourism.

Hizo zote ndizo zilizaa tabia ya kudai kila kitu World recognizable kilichopo Tanzania ni chenu.

Usitufanye wajinga sana, uwe unafanya research kabla ya kuongea wala kujipa umhimu.

AND NEVER CALL IT BANTER IT IS WAR
 
buffalo44 umeona jinsi mlivyo? Ona thread mnazofungua. Ndio maana nakwambia Kenya tuko tu banter ila nyinyi na inferiority complex mnaichukulia serious sana.
Nyie ndio mna Inferiority Complex, usitusingizie sisi watu gani wanaforce kupendwa na mzungu na kufata kila kitu. Na Narudia its not Banter its war.

Nikuongeze kasome Coalition of Willing
 
Duh asee! Ulizaliwa Mwaka gani?
let me ENLIGHTEN you.

In 2006 kwenye Travel Agents Conference Waziri wenu wa Utalii Morris Dzoro alisema Mt. Kilimanjaro ni moja ya vivutio vya kitalii Kenya. Kupelekea mvutano. Imagine waziri mzima anasema hivyo, na mlitumia slogan hii 'COME TO KENYA TO SEE and CLIMB Mt. Kilimajaro.

View attachment 2972798

Unajua iliaffect kiasi gani tourism industry yetu, maana kupitia kampeni lenu la kutumia Kilimanjaro na serengeti watalii walikua wanafikia kwenu alafu mnawaleta huku as if hakuna Mbuga huko. Ndio Tanzania ikaja na Charges za USD 200 kwa kila Van kutoka Kenya, Kutangaza VISIT TANZANIA VIA SUNDELAND CLUB.
View attachment 2972804

Uzi uko humu wanalalamika

View attachment 2972800

Sasa mna masai mara, Na mbunga nyingi mnaleta van kufanyaje, kama si kuwaonesha watalii mliowadanganya, baada ya hizi measures ndio watalii wakagundua uongo wenu.

Kuna huyu Rosemary Odinga mbele ya UN kabisa alisema Olduvai Gorge iko Kenya

View: https://www.youtube.com/watch?v=4-nKXyN3wOk

Alafu Baadae unakuja kuita Banter, Na unakuja kabisa kusema sisi ndio tumeanzisha, Banter gani zinakost sector nzima ya tourism.

Hizo zote ndizo zilizaa tabia ya kudai kila kitu World recognizable kilichopo Tanzania ni chenu.

Usitufanye wajinga sana, uwe unafanya research kabla ya kuongea wala kujipa umhimu.

AND NEVER CALL IT BANTER IT IS WAR

Considering you discussed in your parliament that a Kenya airways plane was named Kilimanjaro and almost caused a Diplomatic row about it, I wouldn't be surprised if what Dzoro said was a very innocent statement that your insecure selves blew out of proportion. (I would really love to hear the exact statement that he made) I'm happy that you've accepted that to you it's war while to us it's a simple banter. That's why we always tell you, you have an inferiority complex.
 
Innocent statement kwenye Travel Agents Conference, tena mwaka 2006 amabao exposure ya wengi sio kama sasa?
Hiyo KQ airways ilifall on the same your campaing ya "COME TO KENYA TO SEE/CLIMB MT. KILIMANJARO" ulitaka tuwarahisishie kwa kuweka kenywe ndege ambayo inaleta hao watalii mliowadaganya alafu mnawapakia kwa van kuja bongo kwa kutumia EAC policies?

Kwanza umesoma yote, Hapo kwa Rosemary Odinga unasemaje?
 
Considering you discussed in your parliament that a Kenya airways plane was named Kilimanjaro and almost caused a Diplomatic row about it, I wouldn't be surprised if what Dzoro said was a very innocent statement that your insecure selves blew out of proportion. (I would really love to hear the exact statement that he made) I'm happy that you've accepted that to you it's war while to us it's a simple banter. That's why we always tell you, you have an inferiority complex.
So Rosemary Odinga's claim was simply a banter?
 
Mchina hajuagi kusema uongo 😁😁😁

View attachment 2972744
Haya sasa atuletee hiyo ya 200k./hr tujionee humu
 
Back
Top Bottom