Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni train speed meter au bango la matangazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Speedmeter ya kichina hiyo😆😆😆dash board inasoma 350 ila ukiona mwendo ni 80k/hrs.. mchina alijua nyie washamba sanaaaa..
Angalien mfano mzungu kawadanganya gdp ni $105 wakati uhalisia hata kulipa mishahara hamuwez...hivi hamjiulizi hela yote hiyo inafanya nn?? Maana hata miradi ya maendeleo hakuna
 
We fala hakuna DMU inayozidi 160kmph speed.
Pia reli yenu haina capability ya kuruhusu mwendo wa kiasi zaidi ya hicho.
Tuondolee ufala.
Wewe unajua hata DMU ni nini? SGR Trains za Kenya sio DMU.

Unaita watu fala na kumbe wewe ndio fala number moja.
 
Back
Top Bottom