NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Hayo maneno mmejiaminisha wenyewe ila wengine hawamuoni hivo. Si ni juzi tu Mnijeria alisema mnajifanya Wazungu?Where Imesema tuliing'oa, yaani me naleta hapa evidence kabisa we unaniletea blah blah. Weka evidence.
Eti Inferiority complex, unaiongea sana vipi unayo?
Mtanzania awe na inferiority complex kwa Mkenya? Are you serious Mtanzania ambae anastand anachokiamini bila kujali wengine wanaonaje awe na inferiority complex kwa yule anayelamba watu viatu?
Ndio hii hapa comment mliyosema mling'oa reli. Ingekuwa Kenya tumeing'oa ili Bandari yenu isifaidike mngeiweka Hadi kwenye syllabus msiwai sahau.
Tuling'oa sisi Tanzania kuiona haina faida kwetu kulinda bandari ya tanga na dar