Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi picha inatakikana tuzisambaze kwa wakenya wote kwenye social media platform zote tik tok, FB, twitter, Nairaland etc ndo ili mtanzakundu akileta kichwa tunapita nacho.😎
IMG_20240424_124532.JPG
IMG_20240424_124522.JPG
 
Hivi hauoni aibu Watanzania wengi wametengeneza tiktok accounts dedicated kwa ushindani na Kenya wakati Mkenya atacomment tu au kuweka video moja? Huoni hiyo ni low self esteem?
Are you serious kijana, huyo General ndie tu namjua kwenye online war na nyie.

Zingine hua zipo tu kupost the best of Tanzania ila Ghafla kwa comments kuna mbwa wanajipa umuhimu kwa kila kitu hata video za watalii zinazoongelea Tanzania.

Unless hufatilii kijana
 
Kuna mwengine mlikuwa mnashare humu sana halafu ukiona hizo comment ukifungua profile ya wengine wao wamededicate posts about Kenya. Huo upuzo wakenya hatuufanyi.
 
Because you guys mpo unreasonable hapo mpaka ICJ walirule in favor of Somalia.

Guess why Malawi hawaendi ICJ?
ICJ hawakurule in favor of Somalia, walipitisha mpaka katikati na nchi zote mbili zikaukataa.
Halafu mbona unasema sisi tuko unreasonable kwa kufata international conventions za mipaka yet unaona nyie mko right kwa kufuata international conventions za mipaka?
 
Back
Top Bottom