Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. Talanta = 60k
2. Kasarani = 60k
3. Kipchoge Keino = 35k
Talanta naomba picha ukiwa unatumika on action, putting vitu visivyoexit against vinavyoexist ndi nini?

Hiyo tatu pia lete picha google insoma 10+k seats.

Prove me here na 35k seats.

Sometimes acha vitu vikamilike ndio ulete kelela, kwanza viwanja vyenu vyote mnaleta humu ila timu zenu zipo zinatangatanga kwa mechi za CAF/FIFA
 
Kipchoge Keino ni 10k before reconstruction. Reconstruction ikimalizika inakuwa 35k.
 
Kuna mwengine mlikuwa mnashare humu sana halafu ukiona hizo comment ukifungua profile ya wengine wao wamededicate posts about Kenya. Huo upuzo wakenya hatuufanyi.
Eti huo upuuzi wakenya hamuufanyi.

Unaniangusha sana. Nyie ndio waanzilishi wakubwa hata Enzi za Analogy.

Unadhani mindset yenu kuhusu Tz imekuja kuja tu? Mpaka vizuri vya Tanzania mnakataa sio vya Tanzania.
 
ICJ hawakurule in favor of Somalia, walipitisha mpaka katikati na nchi zote mbili zikaukataa.
Halafu mbona unasema sisi tuko unreasonable kwa kufata international conventions za mipaka yet unaona nyie mko right kwa kufuata international conventions za mipaka?
Wacha ujinga mlikataa ICJ ruling!
 
Eti huo upuuzi wakenya hamuufanyi.

Unaniangusha sana. Nyie ndio waanzilishi wakubwa hata Enzi za Analogy.

Unadhani mindset yenu kuhusu Tz imekuja kuja tu? Mpaka vizuri vya Tanzania mnakataa sio vya Tanzania.
Hilo la vizuri vya Tanzania tunavisema vyetu lipo akilini mwenu tu. Sasa kama mnavyoshinda mkisema huwa tunasena eti daraja lenu ni letu huoni huo ni ujinga? Shida yenu mmoja wenu akisema kitu wengine mnafuata tu. Akilaunch hilo daraja lenu Magufuli na chuki zake alisema, 'utawasikia wengine wakisema ni lao' bad hapo mkaanza kukariri eti tunasema ni letu wakati hakuna Mkenya aliye na haja nalo.

Banter huwa tunapiga hata na Uganda, Nigeria, SA na nchi zingine ila sijaona watu wanaochukulia banter seriously kama nyinyi. Yani Hadi mnafungua profiles kwa TikTok dedicated to Kenya.
 
ICJ hawakurule in favor of Somalia, walipitisha mpaka katikati na nchi zote mbili zikaukataa.
Halafu mbona unasema sisi tuko unreasonable kwa kufata international conventions za mipaka yet unaona nyie mko right kwa kufuata international conventions za mipaka?
Hii picha umeiona? Do it seem it ruled in your favor or somalia?

1000011175.jpg
 
Hii picha umeiona? Do it seem it ruled in your favor or somalia?

View attachment 2972705
Somalia haku-claim the whole of economic zone kama ulivyoweka!

Somalia haku-claim the whole of economic zone kama ulivyoweka!
buffalo44 umeona jinsi mlivyo? Ona thread mnazofungua. Ndio maana nakwambia Kenya tuko tu banter ila nyinyi na inferiority complex mnaichukulia serious sana.
 
Back
Top Bottom