Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka Mbeya,KenGold fc imepanda Ligi kuu Bara cc Sama boy 255 Geza Ulole ichoboy01

View: https://www.instagram.com/p/C6B4HmYq3Fr/?igsh=Zmc3ZTV5bzlvc2x5

Mbeya kwanza inayotumia Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara inasubitia mechi ya mwisho kuona kama Pamba atazingua.

Hata Pamba ikishinda,Mbeya kwanza itacheza playoff kusaka nafasi Kwa mara nyingine.

Mbeya City imeshindwa kufaulu msimu huu ila itamaliza namba 6 kwenye msimamo wa championship.

Mwisho Mbeya ni Mkoa wa vipaji,tunahitaji uwanja.Mikoa ambao hamna timu fikeni bei kama mlivyofika Kwa Ihefu Sasa imenuniliwa na kuhamia Singida.
 
Moscow Russia oouchh sorry dar 🤣🤣🤣🤣
20240421_194019.jpg
 
Back
Top Bottom