Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yafaa mshukuru huo ununuzi ulifanyika maanake bila hilo Zanzibar haingeungana na Tanganyika.
Mpumbavu wa wapi wewe Muungano ulitokea baada ya Sultan kupinduliwa! Na kama Mombasa ingekuwa chini ya Sultan kipindi cha Mapinduzi ingekuwa chini ya Muungano saahii! BTW thanks the Queen of England for buying Mombasa from Zanzibar Sultanate!
 
Ya tatu kwa ushoga pengine😀View attachment 2970440
Unabisha au ?? Ww Kwanza ushoga unaujua wewe ?? 😅😅😅😅

Na hawa utawaitaje ???
images - 2024-04-21T215013.420.jpeg
 
1pp
Wewe usimpe moyo kabisa, iyo miaka anayosema yeye ndio bongo fleva ilikuwa na kizazi cha dhahabu ambacho hakijawahi kutokea, nikuulize wewe jua kali utamfananisha na Juma nature? Ana hit songs ngp? Huyo mkenya ni mpumbavu anayependa kubishana kwa kila kitu, tangu lini mziki wa Kenya ukawa juu ya mziki wa Tanzania? Waongee wacongo lkn sio takataka yoyote hapa EA

Wewe usimpe moyo kabisa, iyo miaka anayosema yeye ndio bongo fleva ilikuwa na kizazi cha dhahabu ambacho hakijawahi kutokea, nikuulize wewe jua kali utamfananisha na Juma nature? Ana hit songs ngp? Huyo mkenya ni mpumbavu anayependa kubishana kwa kila kitu, tangu lini mziki wa Kenya ukawa juu ya mziki wa Tanzania? Waongee wacongo lkn sio takataka yoyote hapa EA.
💯 Mkuu
 
Back
Top Bottom