Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi hatuna shida personal na nyie ni tabia zenu ndio zinawahukumu, we are mostly friendly nation na kila mtu anajisikia poa kuwa na sisi, nyie ndio shida, hata we unajua namna mademu zenu ni pasua kichwa hasa when it comes to chapaa.
Sasa tabia zetu vipi na tunapendwa kwengine kwote. On the other hand, Kuna video ya Mnijeria humu akiwalalamika mlivyo wabaguzi na kujifanya wazungu. Nyinyi tu ndio mna chuki?😂😂😂
 
Nadhani umekosea, hiyo statement inawafaa nyie kweli kweli.

You guys has been spreading misinformations about TZ since Nyerere day, hatujawasahau Corona Time, Magufuli Death.

Alafu unataka kujipa umuhimu hapa.
Nadhani tulijadili hili jambo nawe tukamaliza, na ulionekana kukubaliana na Mimi. Sijui mbona unalirudia. Meanwhile, ni nyinyi tu mnaotuchukia hapa Afrika, kwengine kwote tunapendwa Sasa nani muongo?😂😂😂
 
Damn. What going on bro? Nani Mhusika Maana kwa CDF anaweza mtishia maisha ni Raisi, still naona kama jeshi lenu kuna mganwanyiko mpaka CDF anafanyiwa assassination.

Morale ya Jeshi itakuwaje?

I pray for you hiki kifo kisdrag tribalism, ikiwa ni assassination.
Huyo Ogola hakukubaliana na matokeo ya Urais ya 2022 na pamoja na vigogo vingine walijaribu kuyapindua. Hicho kitendo kilimkera sana Ruto na alikiongelea kwa uchungu sana.
 
I don't think so, ulitunaga sana kwa helicopter ndio sababu wanaileta, mpaka chopper inaua CDF sio mchezo ni inshu mbaya kwa usalama wa Chopper za jeshi.

Anyway Poleni sana for your Loss.
Mzee wenu hapo anaonekana yupo patriotic kwa picha. 🙏
Aiseee
 
Hata kama ni wavamizi haikubaliki this is not joke CDF ni mtu mkubwa kuvamiwa hadi kufa inamaanisha nchi usalama hauleweki inatoa taswira mbaya kwa nchi, it weaken army strength.
Kwamba ndege ilishambuliwa? 🤣🤣
Mibongolalala si mpo desperate lakini!!
Where did you read this if I may ask?
 
Huyo Ogola hakukubaliana na matokeo ya Urais ya 2022 na pamoja na vigogo vingine walijaribu kuyapindua. Hicho kitendo kilimkera sana Ruto na alikiongelea kwa uchungu sana.
Duh kumbe ni ruhusa kwa viongozi wenu wa jeshi kutoa maoni yao ya kisiasa publicly? Halafu kivipi CDF aoneshe affiliations zake za upande pinzani na commander in chief na bado aendelee kuserve muda wote huo?
 
Huko Kenya hamuwezi tumia water pressure kuondoa vumbi mjini, maana vumbi linakata sana mzuka wa kuinjoy nature from picture.

Bongo Kigoma inaongoza hadi tabu, nchi nyingi za Africa vumbi linaharibi picha hatari.
Ni wapi Tanganyika mnatumia water pressure kuondoa vumbi barabarani?
 
Unless uwe hujui maana ya commercial complex 😂😂😂😂😂 hata uchumi supermarket kabla haijaingia kaburini ilikua hapo
Sema hujui maana ya neno mall? Matusi hayatondoa ujinga wako.

So any building that houses a supermarket ni Mall?
 
Back
Top Bottom