Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenzako alisema ni Assassination au husomi comments. Okay tuseme hamna uvamizi au assassination.

So CHUMA NI MBOVUUU eeh?
This is an accident just like any other. But because you've chosen to make it a subject of debate.

and coming up with your own theories, it's okay if it makes you happy.

Ndege huanguka duniani kote killing hundreds of people but they do not become sujects
of suspicion.

Mnasema chuma chakavu wakati hata hamujui engineering ya ndege
 
Ati Kuna fala anataka kulinganisha Kenyan old school songs na ujinga za Tanzania. During this time most Tanzanian artists were coming to record their songs in Kenya.

View: https://youtu.be/CrjW8A8TR54?si=XWCLuUKdK501lD-2

Wewe wewe jamaa, huwa unanishangaza sana aisee

Unasahau kwamba ilikua EATV, televisheni ya kitanzania iliofanya hawa jamaa wawe ma staa hapa Africa mashariki. Nenda hata kawaulize wemyewe watakwambia, kawaulize kina jose chamillione pale Uganda watakwambia.

Sema kwa sababu wewe sio mpenda ukweli, huwezi likubali hata siku moja hili.
 
Wali-invest nini na lini mpaka hizo investments kuanza kulet impact kwenye uchumi? Unaongea mambo ya kijinga sana.
Mfano mmja tuu ,ni kiwanda Cha Intracom fertilizer Cha Dodoma ujenzi ulianza 2021 na ukakamilika 2023 na uzalishaji awamu ya kwanza umeanza.

Sasa viko viwanda na Biashara nyingi zilizoanzishwa kipindi hicho.👇
20240420_124314.jpg
20240420_124306.jpg
 
Nadhani tulijadili hili jambo nawe tukamaliza, na ulionekana kukubaliana na Mimi. Sijui mbona unalirudia. Meanwhile, ni nyinyi tu mnaotuchukia hapa Afrika, kwengine kwote tunapendwa Sasa nani muongo?😂😂😂
Wapi nilionekana kukubaliana nawe, kuhusu chuki or lingine?

Kwanza hii EA ni Nchi gani imekosana na kila jirani?
 
Nadhani tulijadili hili jambo nawe tukamaliza, na ulionekana kukubaliana na Mimi. Sijui mbona unalirudia. Meanwhile, ni nyinyi tu mnaotuchukia hapa Afrika, kwengine kwote tunapendwa Sasa nani muongo?😂😂😂
You sure mnapendwa hapa Africa?

Bragging hadi vitu visivyo vyenu ili mradi muonekani wazuri, yaani mnatafuta kupendwa hata kwa vitu visivyo vyenu.

Usichekeshe walionuna.

Juzi hapa mkenya wa YouTube alikua anafanya misinformation kuhusu black Americans kuja Bongo, na kubrag about Kenya, baada ya kuona influx ya black Americans Tz.

Sometimes Fanya follow up ya jambo kabla hujaja kubishia.
 
This is an accident just like any other. But because you've chosen to make it a subject of debate.

and coming up with your own theories, it's okay if it makes you happy.

Ndege huanguka duniani kote killing hundreds of people but they do not become sujects
of suspicion.

Mnasema chuma chakavu wakati hata hamujui engineering ya ndege
DUH! you idiot it's CDF of all people, CDF. With "TANZANIA CAN'T AFFORD" Chopper.

Mnaflash Ubongo or something, na ndege zimeingiaje hapo?

Accident ya vitu vya anga hutokea kwa hitilafu.

For good sake CDF.

Eti theories, screw you na mascrapper yenu, alafu mlete kelele ya KDF nyenye ikiwa CDF (MAY HE REST IN PEACE) ndio anaanguka na Mpumbavu kama wewe unasema ni just another accident.
 
This is an accident just like any other. But because you've chosen to make it a subject of debate.

and coming up with your own theories, it's okay if it makes you happy.

Ndege huanguka duniani kote killing hundreds of people but they do not become sujects
of suspicion
.

Mnasema chuma chakavu wakati hata hamujui engineering ya ndege
Alafu huko kwenu CDF ni nobody eeh
Mpaka uandike that sentence?
 
This is an accident just like any other. But because you've chosen to make it a subject of debate.

and coming up with your own theories, it's okay if it makes you happy.

Ndege huanguka duniani kote killing hundreds of people but they do not become sujects
of suspicion.

Mnasema chuma chakavu wakati hata hamujui engineering ya ndege

Ilitolewa alert ya tukio la kigaidi huko kwenu... Haya tuendelee kusubiria au?

Tubadili katiba baba shaliniii aendelee
 
Ilitowa na nani na dhidi ya kundi lip?

Fishing doesn't suit you...

Kuna balozi ilitoa tahadhari kwa raia wake hapo. Hilo la kubadili katiba ilikuwa utani tu wa yule seneta au they mean business?
 
Back
Top Bottom