Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nimeamua kuachana nae, diplomatic issues ni nyingi kuanzia watimuliwe Kongo, kukaribisha wapinzani Nairobi, Somali Maritime Border dispute, Ethiopia na kutumia bandari ya Somaliland.

Na vyote vipo humu.
So diplomatic issues ndio zinafanya useme hatupendwi? Hivi Tanzania hamna diplomatic dispute? Hiyo inayoendelea na Malawi ni Gani? Rwanda je? Na Ile ya Mozambique? Wacheni unafiki. Nenda mitandaoni wakenya tunapendwa kote kote na ukitaka niporomoshe video humu ujionee.
 
Zamani Kenyans mlikuwa poa sanaaaa kwenye Music, sikatai Ngeli ya Ya Genge ya Jua kali was my favorite song ever toka Kenya, shida sijui mli felia wapi.

Now mko juu ya mawe hamuwezi haya rudisha ile test ya music ya zamani.
Wewe usimpe moyo kabisa, iyo miaka anayosema yeye ndio bongo fleva ilikuwa na kizazi cha dhahabu ambacho hakijawahi kutokea, nikuulize wewe jua kali utamfananisha na Juma nature? Ana hit songs ngp? Huyo mkenya ni mpumbavu anayependa kubishana kwa kila kitu, tangu lini mziki wa Kenya ukawa juu ya mziki wa Tanzania? Waongee wacongo lkn sio takataka yoyote hapa EA.
 
International law stipulates that whenever there is a water body shared or sandwiched between two countries the maritime border should be at the median of the lake. Malawi claims all the lake on Tanzanian side and says the border should be the beach on Tz side.
Yani mfano tu claim lake victoria halafu hapo Kenya muishie beach tuu msiguse maji yetu hii ni mikataba ya kipuuzi iliyoingiwa na wakoloni bila kuhusisha wahusika wenyewe.
Kama vipi wapeleke kesi kwenye mahakama za kimataifa mbona wana develop cold feet?
Kumbe hata nyinyi pia mko na migogoro na majirani? Hii Dunia lakini!! Blind patriotism ni kitu cha kijinga sana
 
Nssf commercial complex 😂😂😂😂😂

Shida yako wewe ni Wivu unakusumbua
Commercial complex??
Alafu unaiita mall?😂😂

Even these ones here are commercial complexes
images - 2024-02-06T200920.822.jpeg
 
Back
Top Bottom