Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


20240416_152853.jpg
 
Wewe kenge, ni utamadumi balozi za nchi za kigeni kuwatakia kumbukizi ya sikukuu za wenyeji wao au kuwapa kongole kwa mafanikio yote waliyo nayo. Kitu cha kawaida sana. Yani kuwaona mkishabikia jambo la kawaida kama hili inamaanisha mna kiu sana cha validation kutoka kwa wazungu. Mkituita wazungu weusi inakuwanga projection maana ni nyie mnaowashobokea sana wazungu hata yule Mnaijeria alisema ukweli.

Tazama hizi ni the last tweet ya US Embassy in Kenya....................kwa hivo tuje hapa tujisifu juu ya vitu vya kawaida kama hivi? Wengine wenu huwa hamna exposure kabisa.


View: https://twitter.com/USEmbassyKenya/status/1779926716347031875

wewe ndio kenge maji na una njaa imepanda kwenye akili sa hii ubalozi unawakilisha nini wewe nyangau.
 
Back
Top Bottom