Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha vijana wa Kenya wapige pesa. Huko kwenu mngekuwa na talanta pia mngefanya hivo. Hata mimi nikijipata kwa situation kama hiyo nipewe dola zangu kama milioni moja hivi ndio nimuachie Mchina ashinde siwezi kataa. Hili linaonyesha jinsi Kenya inavyoeshimika kiriadha - yani angekuwa ameshinda Mtanzania hakuna mwenye angeona kama kaongwa ila akimshinda Mkenya lazima kufanywe investigation.
Amepewa kwasababu Kenya hakuna wa kumpa hizo tuzo na ili ziwe maarufu duniani wameamua kijipendekeza wa Wana bongofreva worlds wide
 
MYemeni angejulia wapi. Yemen kuna masomo?
Tuoneshe hio talanta 🤣🤣🤣 daily dose

Kuna kasarani nyingine tofaut na hii nijulishe plz 😅😅😅😅😅

Fake life always
Screenshots_2024-04-16-13-59-37.png
 
Article inaongelea export ambayo Kenya tuko ndani ya top 10 mtanzakundu wewe unatuambia hekaya za consumption. Chakula Chenu ni matembere 😀
Ni
Article inaongelea export ambayo Kenya tuko ndani ya top 10 mtanzakundu wewe unatuambia hekaya za consumption. Chakula Chenu ni matembere 😀
Nimekuwekea Tanzania leads in export and production, kalilie FAO HQ
 
Back
Top Bottom