Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂
277783873_2125874600901989_5960635858025927987_n.jpg
Ushafeli.
Aya kakojoe ulale.
 
Azam Chamanzi complex bado kuna watu hawaelewi 😅😅😅😅😅😅😅

Pitch yake iko approved na FIFA
Ina VAR room
Ina hostels za kisasa
Ina swimming pool kwa ajili ya wachezaji
Ina administration block za kisasa
Ina sehemu za ibada ikiwepo msikiti mkubwa
Ina changing room za kisasa ziko approved na FIFA
Ina playing ground za watoto kucheza
Ina mabango ya LED za kisasa ambazo Kenya hakuna na hutoipta 😅😅 na Tanzania ziko kwenye viwanja vitatu na cha nne Arusha kinakuja

Screenshots_2024-04-16-09-32-49.png
 
Ww huna akili hzo leseni ni kwa ajili ya maduka kariakoo wafanye KAZI masaa 24 kitu ambacho hakitatokea kwenu mpaka kufa 😅😅😅😅😅

Watu tunawaza kariakoo biggest market in east and central Africa ifanywe KAZI masaa 24 zikiwemo na banks vile vile, restaurants, hotels, maduka ya dhahabu etc, ww unatuletea naivas sijui quickmart

Elewa Kwanza somo alaf panua kipumulio

View: https://twitter.com/InnocentJLS/status/1665354174970593281?t=tql6r5J0zqUtClfSH1PyCQ&s=19

Ila swala la frequency kwa BRT usiku liangaliwe
 
Azam Chamanzi complex bado kuna watu hawaelewi 😅😅😅😅😅😅😅

Pitch yake iko approved na FIFA
Ina VAR room
Ina hostels za kisasa
Ina swimming pool kwa ajili ya wachezaji
Ina administration block za kisasa
Ina sehemu za ibada ikiwepo msikiti mkubwa
Ina changing room za kisasa ziko approved na FIFA
Ina playing ground za watoto kucheza
Ina mabango ya LED za kisasa ambazo Kenya hakuna na hutoipta 😅😅 na Tanzania ziko kwenye viwanja vitatu na cha nne Arusha kinakuja

View attachment 2964973
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅😅

View: https://twitter.com/Kibegi_09/status/1692113634103542160?t=en1MRvc5EUMFXD8VbSZXCw&s=19

View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=63bSg6LEQqVGhokNTKfrAA&s=19
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani hata alignment ya stands in right angles imewashinda.😂😂😂😂😂😂
 
Azam Chamanzi complex bado kuna watu hawaelewi 😅😅😅😅😅😅😅

Pitch yake iko approved na FIFA
Ina VAR room
Ina hostels za kisasa
Ina swimming pool kwa ajili ya wachezaji
Ina administration block za kisasa
Ina sehemu za ibada ikiwepo msikiti mkubwa
Ina changing room za kisasa ziko approved na FIFA
Ina playing ground za watoto kucheza
Ina mabango ya LED za kisasa ambazo Kenya hakuna na hutoipta 😅😅 na Tanzania ziko kwenye viwanja vitatu na cha nne Arusha kinakuja

View attachment 2964973
Kwani ni slum!!!
 
inawakilisha nini kwa mfano mzee wangu, wewe ni kenge maji ubalozi ama ardhi ya ubalozi ni nchi kamili ya sehemu inapowakilisha ndio maana unaona kuna mvutano kati ya irani na israel.
Wewe kenge, ni utamadumi balozi za nchi za kigeni kuwatakia kumbukizi ya sikukuu za wenyeji wao au kuwapa kongole kwa mafanikio yote waliyo nayo. Kitu cha kawaida sana. Yani kuwaona mkishabikia jambo la kawaida kama hili inamaanisha mna kiu sana cha validation kutoka kwa wazungu. Mkituita wazungu weusi inakuwanga projection maana ni nyie mnaowashobokea sana wazungu hata yule Mnaijeria alisema ukweli.

Tazama hizi ni the last tweet ya US Embassy in Kenya....................kwa hivo tuje hapa tujisifu juu ya vitu vya kawaida kama hivi? Wengine wenu huwa hamna exposure kabisa.

View: https://twitter.com/USEmbassyKenya/status/1779926716347031875
 
Back
Top Bottom