Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuoneshe hio talanta 🤣🤣🤣 daily dose

Kuna kasarani nyingine tofaut na hii nijulishe plz 😅😅😅😅😅

Fake life always
View attachment 2965339
Daily dose

d7d6d6af-65a9-4b1c-af67-e9f07d1a77be.jpg
 
Hizi statistics hazielezei meat consumption in Tanzania! meat consumption in Tanzania na beef export from Tanzania ni vitu viwili tofauti!
Sikuongelea matumizi ya ndani, haya hayajabadilika sana.Ila niliongelea export ambayo ilisababishwa na zile mashine za machinjio za kisasa, unakumbuka ile shtukiza ya vingunguti?. Zamani ilikuwa vigumu kuexport nyama zetu kwakuwa hatukuwa na machinjio ya kisasa, pamoja na uwezo wa kusafirisha nyama ng'ambo.
 
dar ni namba ngapi kwa hiyo list.... 😂 😂 😂 one day mtashtukia tu MOMBASA city imewapiku kiuchumi
 
Back
Top Bottom