Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania kuna potential sana, tena uchumi wetu unajibeba wenyewe, mi hata ndege nne za mizigo naona sawa tuu.
Kabisa mkuu sasa nhisi wasizisahau sana kuliko za abiria tushakuwa nazo sasa waanze na hizi za mizigo na pia melikubwa za mizigo za kwenda commoro na hizi meli za uvuvi za kina kirefu ziharakishwe mizigo itakuwa mingi sana. Serikali ya samia ikazie na iamshe tena hisia za watu kuhusu uzalendo na kupenda vya numbani na kukuza viwanda vya nyumbani watu wazalishe zaidi wapewe kipaumbele wajasiriamali wa nyumbani sana.
 
This Dandora Stadium is better than nearly all Stadiums in Tanzania
View attachment 2965600View attachment 2965601View attachment 2965603
Look at the entrance and compare with Mkapa's Entrance
View attachment 2965612View attachment 2965614View attachment 2965615
Imesha kua approved by CAF or FIFA let me know plz ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimeskia ina capacity 4000 seats alaf ime cost 276m ksh ?? Nyinyi aliewaroga amekufa aisee๐Ÿ™Œ
 
Ilikua kila siku tunaoneshwa daily dose tunashangaa hatuoneshwi tena na tumemis daily dose?? Hebu post current tuone ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Happy now bongolala?
a3.jpg
a2.jpg
 
Back
Top Bottom