NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Kama nilivyowaambia hapo awali, mna kiwanja kimoja kizuri, alafu karibu viwili vitatu vyenye nafuu ila vingine havina tofauti na viwanja vya shule hapa Kenya so hii mazoea yenu ya kujiona mna viwanja bora ni delusions of granduer tu. Kenya bado hatuko vizuri sector ya Viwanja ila ikija kwa ligi the average Kenyan team ina home ground bora kuliko Tanzania. Huu hapa ni wa Ihefu FC.Mbaya sana.
Ila why hukuchagua hata mkwakwani ukachagua huo?
Kusema kweli hapa Africa nchi inayoweza kujipiga kifua sector ya viwanja vya ligi ni SA pekee. Hizi nchi zingine utapata labda viwanja vinne vizuri alafu vingine vyote majanga.