Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwann hamkutoa order before port kukamilika? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mulikua munasubiri nn

Mark my words Lamu port is a big white elephant in Africa not only in Kenya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huwezi elewa hizi vitu ju serikali yenu imewai nunua sts gantry crane tatu tu ju nyinyi ni nchi maskini. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Sasa unataka kutupangia kazi, KPA ilipiga order ya 3 gantry cranes for Mombasa port berth 22 kwanza then Lamu port ilikua ifwatie. Leo hii Mombasa port ikona 16 STS gantry cranes na Lamu Port ina tatu. Huko bongoslum TPA inamiliki crane tatu pekee, moja at Mtwara Port, mbili at Dar is a slum port. Hizo STS crane zingine zote at dar is a slum port ni za private investors.
 
Unaweka cranes Kwenye bandari yenye ni haitegemei kupokea meli.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ . Ni nchi ya kitaahira tu ndio inaweza fanya huo upumbavu. Kwahyo mnategemea cranes kitaendelea kuota kutu hapo for how long.?
Nanona mumeanza kuingiwa na wasiwasi mapema. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Tulia uone post-panamax ships zikianza kudock at lamu port.
 

Imagine hapa ni Nairobi karibu kabisa Bank of Kenya halafu unacheka masaki 9km from CBD

Hio Barabara ni karibu kabisa na city centre. Hakuna kuchekana Nairobi city is decaying nowadays
dji_mimo_20240412_163930_0_1712958525521_photo.jpg
 
Rostam is not African, Rostam is not a Tanzanian.
Kamfukuze basi Tanzania umpeleke kwao ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hata ukilia haitabadili ukweli kwamba Taifa gas ambayo inaongoza kwa thamani ya uwekezaji hapo Kenya ni mali ya mtanzania na sio mmoja, kwakifupi inamilikiwa na watanzania.
 
Back
Top Bottom