Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una tatizo mzee, viwanja vyetu ni vibovu yeah ila sio kwa level ya Kenya, hiyo level ya Kenya unafungiwa.

Viwanja vyenu vinakosa nyansi za kutosha kwa pitch.

Kama huamini nenda social media za timu zenu uone wakiwa on action na uwanja. Ringanisha na Bongo.

Kwanza jiulize why ulishangilia render humu na daily dose ya madibwi.

Mna hamu sana na uwanja wa kueleweka which proves hamna kwa sasa.
Lets be honest with ourselves bro. Kati ya hivi viwanja viwili kipi kibovu? Weka ushabiki kando na ujibu swali.
274488138_668512784575140_8847653144011979454_n.jpg

Machakos-Stadium.jpg
 
Huwezi elewa hizi vitu ju serikali yenu imewai nunua sts gantry crane tatu tu ju nyinyi ni nchi maskini. 😂 😂 😂 Sasa unataka kutupangia kazi, KPA ilipiga order ya 3 gantry cranes for Mombasa port berth 22 kwanza then Lamu port ilikua ifwatie. Leo hii Mombasa port ikona 16 STS gantry cranes na Lamu Port ina tatu. Huko bongoslum TPA inamiliki crane tatu pekee, moja at Mtwara Port, mbili at Dar is a slum port. Hizo STS crane zingine zote at dar is a slum port ni za private investors.
Mzee unafeli eti nchi masikini?

Kwamba priorities ikiwa tofauti tunakua maskini unajua miradi yetu ya kimkakati hamuwezi afford hata mkopeshwe vipi?
 
Back
Top Bottom