REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,239
- 10,926
What's the value of bongolala clubs if these are the biggest
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1779831536579211403?t=VGrIPfqE2RoAr-ao75w3XQ&s=19
Ziko wapi yanga na Simba, 🤣🤣🤣Nimepitia list mpaka mwisho sijaiona Go Mahinya.
Kundustan ubongo wao umeliwa na funza 🤣 🤣 🤣 🤣
Kama hujanionesha Go Mahinya basi wewe ni mpumbavu 🤣 🤣 🤣 🤣Ziko wapi yanga na Simba, 🤣🤣🤣
Nyie nyang’au si mnajionaga ni namba moja kwa kila kitu?🙂Ziko wapi yanga na Simba, 🤣🤣🤣
Ndio nimemtolea mfano wa wanyamwezi wa Nzega wale ni waarabu,Rufiji kuna wandengereko waarabu,Kilwa kuna wangindo waarabu,ukienda makaburi ya kisutu kuna makaburi hadi ya Wahindu na budha wamezikwa pale.
Hajielewi huyo Posta kuna mpaka mtaa unaitwa Indian street na Kigamboni kuna mpaka mtaa unaitwa Arab street/mtaa wa waarabu na wamezaana na waswahili fresh na kibao wamezikwa makaburi msafa kisiwani mchepuko wa kuelekea Kibada.
Hawa jamaa ubaguzi /ukabila unawatafuna sana.
Na hapo Azam katumia quality ya HD je angetumia ya kawaida siungeona mengi zaidi 😂Hakika mkuu, ni kama nikipulizia moshi kwenye pango la panya, wanatoka huko mmoja mmoja wakiwa wamechanganyikiwa
Kenya premier league is a typical joke 😀😀😀View attachment 2964404View attachment 2964405
Ukienda Tinde au Lohumbo(Didia) au Maskati ndani ndani huko kabisa utawakuta🙂Shinyanga wapo waliochoka hadi huruma ila wanalima mpunga
Huwa tunaambiwa sukumagan'g ndiyo huwa wanakurupuka imekuwaje tena
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1779881593827389502?t=hGYlMJFajvS6RcJ5l1Rr4Q&s=19
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1779881596515963037?t=lBstoortX_GY3xfbrYKiwQ&s=19
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1779881598730559872?t=qiBzDci4bUouf0oCGago9Q&s=19
Kwahiyo Msalato ilikuwa chini ya CDA?kwani nani alivunja CDA? Si Rais wa Sukumagang?
Ipo social media kaitafute.Natafuta picha ya mbongo kabaka kuku acha kukwepa mada! Hadi kuku??
Una tatizo mzee, viwanja vyetu ni vibovu yeah ila sio kwa level ya Kenya, hiyo level ya Kenya unafungiwa.Ukiwaona wakijifanya kushangaa Machakos stadium uutadhani timu zao zinachezea Emirates.😂😂
Zitaje kama hutajali hizo better tuone, na kabla hujaziweka kumbuka kuna standard za kudermine "better stadium".Tanzania kuna tu stadium Moja zingine ni mashamba.
Nairobi alone has more and better stadiums than entire Tanzania.