buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Wikipedia na hiyo sentence ya mwanzo inakupa maana gani?Huna habari
View attachment 2961792
Wikipedia na hiyo sentence ya mwanzo inakupa maana gani?Huna habari
View attachment 2961792
Rostam pekee uwekezaji wake huko Kenya ni more than 10 times ya wakenya 500 waliowekeza Tz.Usiwe na hasira Mr. Guesthouse Ulale. Tutaendelea kuinvest Tanzania Hadi tuwe number 1 investor.
Km ngapi dogo?Wanatype wakifuta hakuna comeback....
View attachment 2961755View attachment 2961758View attachment 2961759
Labda CAF wawe machizi kuacha hizo events zifanyike kunako non footballing country instead of footballing nation Tanzania.Wale mibongolalala wa kujinyonga if Kenya hosts both the opening match and the closing ceremonies waanze kutayarisha kamba mapema kabla bei hazijapanda🤣🤣
Vifaa vya shabaha kwa vilipuzi vya Al Shabaab!Hii kitu inaniumiza Sana 👇👇👇👇👇
View attachment 2956913
We ndio huna habari vizuri 😂
From official Precision air website not Wikipedia
View attachment 2961800
Alafu kuna mpumbavu anasema ujamaa ulituharibu?Mwalim alikuwa anaona mbali sana angalia kundurenda wanavyoteseka nowadays View attachment 2961771
Tusubiri tuone. Hao wanachukulia poa, kwani hawaoni CAF social media zilikua zipo zipo tu. Ila baada ya vibe la Simba na Yanga now zipo hai.Labda CAF wawe machizi kuacha hizo events zifanyike kunako non footballing country instead of footballing nation Tanzania.
Zanzibar 👇
Mombasa haiiwezi Zanzibar hata kwa dawa, rate ya watalii between Zanzibar and mombasa tells it a lot.Hawa ndio wasomi wa bongolala🤓
Sasa wewe unafaidikaje hapo; kwa mfano?😎Thanks for confirming that Kenya airways still remains the single largest shareholder in Precision air
I’m planning to buy KQ shares once it has been unfrozen from NSE, with that I’ll be a shareholder of precision air.Sasa wewe unafaidikaje hapo; kwa mfano?😎
Utabaki tu kuvaa viatu chakavu vya skating na kukenua meno😎😉I’m planning to buy KQ shares once it has been unfrozen from NSE, with that I’ll be a shareholder of precision air.
Najua hata hujui vile shares za kampuni ununuliwa. Do you even know why people buy company shares?Utabaki tu kuvaa viatu chakavu vya skating na kukenua meno😎😉
Kwa hela zako za kudownload kwenye mitandao? Bwana mapesa una vituko sana . Your comedianI’m planning to buy KQ shares once it has been unfrozen from NSE, with that I’ll be a shareholder of precision air.
😂😂😂😂 thank you very muchWe ndio huna habari vizuri 😂
From official Precision air website not Wikipedia
View attachment 2961800
Huna lolote wewe nyang'au kipchirchir😎Najua hata hujui vile shares za kampuni ununuliwa. Do you even know why people buy company shares?